Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unasema uongo jamaa amekiwasha kuanzia uarabuni na club africain..siku kacheza mpira mkubwa sana tusiwe wanafikiHuyo joyce tangu asajiliwe jana ndio amekiwasha kwa sababu amecheza na binamu zake.
kwa mechi za mchongo.Kwa mechi gani?
Epusha ukoo wako na aibu ndogo ndogo basi mkuu. Joyce ni mzuri ila bado hajafikia kuitwa beki bora NBCLomalisa akija kukaa vizuri atakuwa ni moto mwingine, nafikiri bado kuna mahali hajakaa sawa. Beki mzuri kuliko yeyote namba 3 kwa NBC premier league.
Mechi ya kule Tunisia ilikuwa ya bahasha pia?Mnajotekenya na kucheka wenyewe
Yani hata hii mechi ya mzee wa tozo na bahasha unataka kuisifu yanga?
Kiufupi jana yanga lichezapeke yake mengine yote mwigulu madelu syatem nchemba kashamaliza
Sent from my M100 using JamiiForums mobile app
Kuna Clement na kuna Yusuph Athumani. Hawa madogo wazuri sana pale mbele, namuona Ambundo akienda kwa Mkopo mahala. Yanga tunapaswa kuachana na Makambo, na winga mmoja wa kimataifa ili kuwapa nafasi wazawa, bila kumsahau Bigirimana.Mzize ni mtu na nusu aisee.
Ondoa Makambo, Kisinda na hata Bigirimana. Ila Ambundo abaki ni squad player mzuri tu.Kuna Clement na kuna Yusuph Athumani. Hawa madogo wazuri sana pale mbele, namuona Ambundo akienda kwa Mkopo mahala. Yanga tunapaswa kuachana na Makambo, na winga mmoja wa kimataifa ili kuwapa nafasi wazawa, bila kumsahau Bigirimana.
Waambiage hao Ngada FC, Sembe FC, Pusha FC.Mechi ya kule Tunisia ilikuwa ya bahasha pia?
Wachambuzi wa bongo wana shida sana kaka.. wanapelekwa na upepo tu. Yanga kadroo na mwarabu taifa wanaponda yanga bado haiwezi michuano ya kimataifa kampiga mwarabu tunisia wanaibuka yanga ni moja ya timu kwenye michuano.Halafu sema tu mashabiki hamna kumbukumbu
Timu yenu inapopata matokeo mabovu, nyinyi ndio mnakuwa wakwanza kuwanyooshea wachezaji vidole kabla hata ya wachambuzi
Labda kama hufatiliagi interviews za mashabiki baada ya game
Huyo Lomalisa, Morrison hadi Aziz Ki wote walishawahi kusemwa kuwa hawajitumi kama ambavyo walivyokuwa wanacheza kwenye Club zao waliko tokea
Hayo maneno yalisemwa na nyinyi mashabiki
Na hii ni kawaida, ipo hata kwa Simba, kitu nachokiona hapa ni kwamba nyinyi mashabiki ni kama ndio mna uhalali wa kuisema timu yenu vile mtakavyo, ila maneno hayo yakisemwa na mchambuzi tayari inakuwa nongwa, mchambuzi fulani ana chuki
Mimi napenda kusikiliza Dunia ya michezo wapo Radio, pale kuna mchambuzi anaitwa Salumu Mnolela, yule anasema kabisa kuwa Simba mbovu na anakupa na sababu. Simba haina kikosi kipana, Quality ya mchezaji mmoja mmoja bado ni tatizo na mimi namkubalia na pia nakumkubali kama mchambuzi mzuri.
Wala sioni kama hiyo ni chuki kwasababu anachokiongea kinaonekana, so siwezi kutafuta kimechi kimoja kama kile cha Mtibwa nikashinda goli 5 afu nikakitumia hicho kuanza kumsema Salum Mnolela kuwa ni mnafki anachuki na Simba kwasababu kikosi alichosema kibovu kimeshinda bao 5.
Maoni ya wachambuzi yaheshimiwe japo hayawezi kuwa sahihi ila please tusiwajengee chuki. Tutawafanya wawe wanalazimika kuongea unafki ili tu kuturidhisha mashabiki.
Yanga alivyo droo hapa na Tunis uliwasikia mashabiki maoni yao baada ya mchezo?Wachambuzi wa bongo wana shida sana kaka.. wanapelekwa na upepo tu. Yanga kadroo na mwarabu taifa wanaponda yanga bado haiwezi michuano ya kimataifa kampiga mwarabu tunisia wanaibuka yanga ni moja ya timu kwenye michuano.
Ushabiki umewafanya watu mmekiwa mabumunda kisengeNishawaambia kama hujasafisha picha usichome nega na ukiamrishwa na maafisa usigome nenda
Vipi Lomalisa leo hakucheza?
Azizi Ki ile mikimbio aliyokuwa anasifiwa imeisaidiaje timu?
Striker mkali ambaye anacheka na nyavu za goli leo vipi au alikuwa anacheka na nyavu za wavuvi?
Mdaka mishale je?