Wachambuzi uchwara vipi, Lomalisa bado tumepigwa?

Huyo joyce tangu asajiliwe jana ndio amekiwasha kwa sababu amecheza na binamu zake.
 
Lomalisa akija kukaa vizuri atakuwa ni moto mwingine, nafikiri bado kuna mahali hajakaa sawa. Beki mzuri kuliko yeyote namba 3 kwa NBC premier league.
Epusha ukoo wako na aibu ndogo ndogo basi mkuu. Joyce ni mzuri ila bado hajafikia kuitwa beki bora NBC
 
Mzize ni mtu na nusu aisee.
Kuna Clement na kuna Yusuph Athumani. Hawa madogo wazuri sana pale mbele, namuona Ambundo akienda kwa Mkopo mahala. Yanga tunapaswa kuachana na Makambo, na winga mmoja wa kimataifa ili kuwapa nafasi wazawa, bila kumsahau Bigirimana.
 
Ondoa Makambo, Kisinda na hata Bigirimana. Ila Ambundo abaki ni squad player mzuri tu.
 
Wachambuzi wa bongo wana shida sana kaka.. wanapelekwa na upepo tu. Yanga kadroo na mwarabu taifa wanaponda yanga bado haiwezi michuano ya kimataifa kampiga mwarabu tunisia wanaibuka yanga ni moja ya timu kwenye michuano.
 
Yanga alivyo droo hapa na Tunis uliwasikia mashabiki maoni yao baada ya mchezo?

Nani aliyeweza kusema kule Tunis wataenda kuwatoa Club Africain?

Kwa perfomance ile walioionesha hapa kwa Mkapa unafikiri kulikuwa na hope yeyote ya kuweza kufanya vizuri ugenini?

Hakuna aliyeweza kufikiria Yanga ataenda kufuzu, hiyo sio mashabiki tu mpaka viongozi wa Club hawakuwa na matumaini hayo na huo ndio ukweli.
 
Nishawaambia kama hujasafisha picha usichome nega na ukiamrishwa na maafisa usigome nenda

Vipi Lomalisa leo hakucheza?

Azizi Ki ile mikimbio aliyokuwa anasifiwa imeisaidiaje timu?

Striker mkali ambaye anacheka na nyavu za goli leo vipi au alikuwa anacheka na nyavu za wavuvi?

Mdaka mishale je?
 
Ushabiki umewafanya watu mmekiwa mabumunda kisenge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…