Ndio vyepesi na vina Hela na wasikilizaji wengiHivi media zote hazina vipindi vingine zaidi ya michezo?
Yani asubuhi yote hii hadi jioni mpaka usiku ni michezo tu,
Alafu mnataka Marekani iendelee kutupa hela zake wakati sisi muda wote tunajadili simba na yanga?
Weka video nione kidogo timbwili lilivyokuwaNasikiliza hapa Crown Sports ya Crown FM, wachambuzi wa kipindi hiko wanajadili ile faulo iliyozaa goli la Simba.
Hans anasema sio goli halali kwakuwa mpira ulianzishwa katika eneo sio sahihi kwakuwa ulisogezwa.
Geoff Lea anasema goli ni halali kwakuwa sio lazma mpira uanzishwe eneo lile lile.
Basi wakaanza kubishana kwa virugu huku kipindi kikiwa live. Tatizo kuu Hans Raphael huwa hawapi nafasi wenzake kila saa anataka kuongea yeye.
Mwisho wa siku, Hans akamuambia Geoff kuwa ujue tupo live, Geoff akamjibu kwahyo sisi tunaongea pumba na wewe pekee yako ndio unaongea point!!
Hii imekaaje kitaaluma?
Tunaupata kwenuMda wa kusikiliza upumbavu mnapataga wapi aisee
Wangepigana sasa ila mbishi zaidi ni Job George
Kwani mwijaku utangazaji kasomea amaKwani anaesimamia kipindi ni nani,anatakiwa kusimamia hilo
Clouds ndo walianzisha huu utaratibu wa kipindi kimoja kuwa na watangazaj zaidi ya wawili na wamejitahid sana kuachiana nafas za kuzungumza lakin wasafi kuna wakat huwa ni kelele
Clouds walipata shida sana kwa Mwijaku na Mchomvu
Clouds huwa wanapenda kuchukua wale vijana wajanja wajanja baadae ndo wanasomea taaluma ya habari,nazan mwijaku nae ilikuwa hvyo hvyoKwani mwijaku utangazaji kasomea ama
Na Baba levo je, pale wasafi?Clouds huwa wanapenda kuchukua wale vijana wajanja wajanja baadae ndo wanasomea taaluma ya habari,nazan mwijaku nae ilikuwa hvyo hvyo
Baba levo huyo hajasomea yupo kiujanja ujanja tu humoNa Baba levo je, pale wasafi?
Basi hata juma lokole hajasomea itakuwaBaba levo huyo hajasomea yupo kiujanja ujanja tu humo
Sawa.Tunaupata kwenu
SawaSawa.
Ukisikiliza sana upumbavu unakuwa mpumbavu. Kuwa Makini.