Mwande na Mndewa
JF-Expert Member
- Feb 26, 2021
- 1,117
- 3,153
Ilianza muda mwaka Jana wanahabari kadhaa walienda Dubai kuchunguza ufanisi wa bandari,tukawaona wabunge nao wakienda Dubai,na Leo wanahabari kadhaa wa vipindi vya asubuhi wataanza kutangaza matangazo ya asubuhi Moja kwa Moja toka Dubai,nani anafadhili suala hili!?