Wachambuzi wa mchongo Jf wataweka wapi sura zao baada ya ushindi wa 2:0 na total dominance iliyooneshwa jana

Wachambuzi wa mchongo Jf wataweka wapi sura zao baada ya ushindi wa 2:0 na total dominance iliyooneshwa jana

Nasdaq

Member
Joined
Sep 22, 2024
Posts
17
Reaction score
45
Nukuu ya mwanautopolo lialia Labani og

"Kama utakuwa professional kwenye soka la nchi hii jaribu kuweka vikosi vya Azam na Simba kwenye mzani
.... lazima utaona kuwa kikosi cha Azam kina uwezo kuliko kile Cha Simba ..."

Kosa la Labani og ni kutumia neno professional kwenye kujiaminisha kwamba maombi yake ya kuiombea Simba njaa yatafanikiwa wakati akijua kuwa Azam asingetoboa jana
 
Yaani nawe unatumia muda wako kumchukulia serious Laban og kama mchambuzi? Huyo anatumia hili jukwaa la michezo kama sehemu ya kujifurahisha na ndio maana unaona nyuzi zake zimejaa kuisifia Yanga na kuiponda Simba pekee. Ukichukua takwimu ya Azam vs Yanga na Azam vs Simba, unaona nafasi ya Azam kuifunga Simba ni bahati nasibu maana wanaongoza kwa kufungwa na Simba. Huwa wanaonesha ushindani dhidi ya Yanga na huumia sana wakifungwa na Yanga ila sio Simba. Jana wachezaji wa Azam na kiongozi wao walikuwa wapo na furaha tu huku wakipigiwa makofi. Ngoja uone mechi ya Yanga Akamiko atajipanga hadi amvunje mtu.
 
Back
Top Bottom