GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Sasa nami GENTAMYCINE nawaambieni hapa hapa (tena leo hii) kuwa Simba SC Kesho hatufungwi na Prisons FC hivyo tutawaacha kwa Alama (Points) Tatu (3) na najua Jumamosi mtawahonga Geita Gold FC ili mshinde (tena Goli nyingi) ili Kuwatuliza Mashabiki wenu na Sisi Simba SC kwa makusudi tutatoka Sare na Singida Fountain Gate FC na Pengo (Gap) itakuwa ni Alama (Point) moja (1) na bado Simba SC itaendelea tu kuwa Kileleni na nyie chini yetu.
Kudadadeki.
Kudadadeki.