Wachambuzi wa mpira msipeleke hewani ndoto na mahaba yenu

Wachambuzi wa mpira msipeleke hewani ndoto na mahaba yenu

Team hii ni yq wananchi kwa nini ichukuliwe na watu wachache? Haikubaliki uhuni huu
Hao wananchi walikuwa wapi wakati uleeee timu inakinga bakuli? wananchi wanataka vicheko tu baaasi sio majina wala uzoefu. kama ni uzoefu basi hakuna mzoefu pale kumshinda Mkwasa.
 
umuhimu wa kuweka akiba ya maneno kwa wachambuzi ni huu hapa


 
"Katika kundi la Watanzania lipo zezeta moja (Jemedari Saidi) eti linataka tumthibitishie yeye kuhusu usajili wetu"

"Hivi yeye ni nani nchi hii ? Ana uhalali gani special ? Ana historia gani na football ya nchi hii ?, kasomea wapi huo uchambuzi au uandishi ?!"

"Anajua hata ndege kubwa ndani zinafananaje, hata passport anayo hadi tumthibitishie mambo ya kimataifa kwake ? Kashawahi kudeal na mchezaji gani wa kigeni ?!

"Jana tu yeye na wenzie huku wamesimama dede studio, walikuwa wanalalamika eti mimi namgombanisha na Wanayanga kwa kuchochea chuki,, Na akatuma makala kibao za mazuzu wenzie kuonesha mimi namuonea"

"Mtu ambaye ashawahi kupost Instagram kwamba alianza kupiga nyeto toka utotoni,, leo aje kutueleza sisi kuhusu maadili ? Nyie 🤪"

"Kiufupi Yanga haina muda wa kumprove mtu wa mtaani,, Zuzu aliyefluk kupata nafasi ya kutukana watu studio,, Inajenga klabu yake kwa maendeleo yake yenyewe, na inajua taratibu za kimkataba na matakwa yake"

"Mtu huyuhuyu ndiye alisema Djuma Shabani hawezi kucheza Yanga SC, jana kaleta uzwazwa mwingine. Katika kipindi cha mwaka mzima, ameandika makala zaidi ya mia negative kuhusu Yanga na viongozi wake, lipi litushangaze leo ?! Uzuri wake zote tunazo tunaendelea kumdekshia tu"

🔍 Haji Manara
Kabla hujaanza kuizungumzia Yanga fikiria kwanza watu hawa

 
Back
Top Bottom