Wachambuzi wa mboga kama mbwiga wa mbwiga Jemedari Said Kazumari na Jeff Lea.Tanzania ndio unakuta mchambuzi anachambua mpira, anachambua mambo ya HR ya club, baada ya hapo anachambua mambo ya Sheria ndani ya Vilabu, akitoka hapo anachambua mambo ya Finance na hata mambo ya Marketing.
Tumezoea Ulaya Wachambuzi wanachambua mpira tu tena uwanjani sana, ila huwezi kuta mchambuzi wa mpira Ulaya anachambua mambo ya Finance za Club.
Pia wachambuzi wengi Ulaya kama sio wote walisha wahi kuwa wachezaji wa mpira sasa njoo Bongo, Mchambuzi hajui hata kupiga Danadana ila ni mchambuzi.
Usisahau Pin point pass ni muhimu Sana Kwa mustakabali wa uchambuzi Tanzania.Sikuhizi ili uwe mchambuz.lazma ujue maneno yafuatayo
Square pass
4-4-2 diamond
4-3-3 zigzag
Inswing corner
Na kiingereza Cha kuhadaa umma baasi wewe utakuwa bonge la chambuz lakn la mchongo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sikuhizi ili uwe mchambuz.lazma ujue maneno yafuatayo
Square pass
4-4-2 diamond
4-3-3 zigzag
Inswing corner
Na kiingereza Cha kuhadaa umma baasi wewe utakuwa bonge la chambuz lakn la mchongo
HahahaUsisahau Pin point pass ni muhimu Sana Kwa mustakabali wa uchambuzi Tanzania.
Double pivotSikuhizi ili uwe mchambuz.lazma ujue maneno yafuatayo
Square pass
4-4-2 diamond
4-3-3 zigzag
Inswing corner
Na kiingereza Cha kuhadaa umma baasi wewe utakuwa bonge la chambuz lakn la mchongo
Double pivot