MURUSI
JF-Expert Member
- Jun 25, 2013
- 4,537
- 8,824
Tanzania ndio unakuta mchambuzi anachambua mpira, anachambua mambo ya HR ya club, baada ya hapo anachambua mambo ya Sheria ndani ya Vilabu, akitoka hapo anachambua mambo ya Finance na hata mambo ya Marketing.
Tumezoea Ulaya Wachambuzi wanachambua mpira tu tena uwanjani sana, ila huwezi kuta mchambuzi wa mpira Ulaya anachambua mambo ya Finance za Club.
Pia wachambuzi wengi Ulaya kama sio wote walisha wahi kuwa wachezaji wa mpira sasa njoo Bongo, Mchambuzi hajui hata kupiga Danadana ila ni mchambuzi.