Wachambuzi wa Mpira Tanzania wanachambua hadi mambo ya Finance za Vilabu

MURUSI

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2013
Posts
4,537
Reaction score
8,824
Tanzania ndio unakuta mchambuzi anachambua mpira, anachambua mambo ya HR ya club, baada ya hapo anachambua mambo ya Sheria ndani ya Vilabu, akitoka hapo anachambua mambo ya Finance na hata mambo ya Marketing.

Tumezoea Ulaya Wachambuzi wanachambua mpira tu tena uwanjani sana, ila huwezi kuta mchambuzi wa mpira Ulaya anachambua mambo ya Finance za Club.

Pia wachambuzi wengi Ulaya kama sio wote walisha wahi kuwa wachezaji wa mpira sasa njoo Bongo, Mchambuzi hajui hata kupiga Danadana ila ni mchambuzi.
 
Mkuu utakuta linaeleza namna ya ku defend yan kama unasikia sauti tu na huangalii tv, unaweza sema Nemanja vidic kaja tz na anaongea kiswahiki, utakapo tafuta tv umwone mtu mwenyewe unachoka kabisa, yan hajui A wala B ya mpira... Changamoto kweli yani
 
Tanzania ndio unakuta mchambuzi anachambua mpira, anachambua mambo ya HR ya club, baada ya hapo anachambua mambo ya Sheria ndani ya Vilabu, akitoka hapo anachambua mambo ya Finance na hata mambo ya Marketing.

Tumezoea Ulaya Wachambuzi wanachambua mpira tu tena uwanjani sana, ila huwezi kuta mchambuzi wa mpira Ulaya anachambua mambo ya Finance za Club.

Pia wachambuzi wengi Ulaya kama sio wote walisha wahi kuwa wachezaji wa mpira sasa njoo Bongo, Mchambuzi hajui hata kupiga Danadana ila ni mchambuzi.
Wachambuzi wa mboga kama mbwiga wa mbwiga Jemedari Said Kazumari na Jeff Lea.
 
Sikuhizi ili uwe mchambuz.lazma ujue maneno yafuatayo

Square pass

4-4-2 diamond

4-3-3 zigzag

Inswing corner

Na kiingereza Cha kuhadaa umma baasi wewe utakuwa bonge la chambuz lakn la mchongo
 
Kwani lazima kila kitu tufanye km ulaya? Hii ni bongo yetu kwa hiyo tunafanya kikwetu kikwetu
 
Sikuhizi ili uwe mchambuz.lazma ujue maneno yafuatayo

Square pass

4-4-2 diamond

4-3-3 zigzag

Inswing corner

Na kiingereza Cha kuhadaa umma baasi wewe utakuwa bonge la chambuz lakn la mchongo
Usisahau Pin point pass ni muhimu Sana Kwa mustakabali wa uchambuzi Tanzania.
 
Sikuhizi ili uwe mchambuz.lazma ujue maneno yafuatayo

Square pass

4-4-2 diamond

4-3-3 zigzag

Inswing corner

Na kiingereza Cha kuhadaa umma baasi wewe utakuwa bonge la chambuz lakn la mchongo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ukiweza kusema haya ..we ni mchambuzi ..

Double pivot
High line .
False nine..
Attacking middle...

Mfumo...
Ku press...
Wing backs..
 
Uchambuzi mpira ni sawa na wafanyakazi hewa, hakuna faida yoyote kwa jamii inayotokana na hii kazi.
 
Back
Top Bottom