Wachambuzi wa soka wa Kitanzania na Simba

Wachambuzi wa soka wa Kitanzania na Simba

Inafananishwa na Barcelona na real Madrid tu hata mamelod hawagusi. Wana bonge la uwanja bunju linaitwa mo arena linaingiza watu 100k.
Sawa Mzee wa Laliga de Utopolo.
Naskia jana mmeanza Ligi huko Shinyanga baaada ya kupata ushindi mkubwa tangu JPM aingie madarakani 2015.
 
Kazi ya waandishi ni kupasha habari na kukosoa panapotakiwa hatukatai, ila kuna huyu kijana priva uandishi wake hasa matukio ya simba unaona kabisa chuki ndani yake kwa baadhi ya wachezaji.
 
Kazi ya waandishi ni kupasha habari na kukosoa panapotakiwa hatukatai, ila kuna huyu kijana priva uandishi wake hasa matukio ya simba unaona kabisa chuki ndani yake kwa baadhi ya wachezaji.
Ndio Maana Wizara inasisitiza angalau wawe na Diploma ya Tasnia husika sisi tunaona kama wanaonewa, kumbe halali kabisa.
 
Utopolo uwezo wenu mdogo sana ni zaidi ya mbumbumbu.

Jana kupata goli 5 wanataka kuandamana kudai wapewe kombe,bila kujua kuna timu ilimpa 6 na haioti hata kuwa top 3
Halafu Utopolo wamesahau kwamba Tangu Mwadui ipande ndio timu pekee ambayo huwa wanaifunga magoli mengi kila Mwaka.
Na mara ya mwisho wao kupata Magoli matano ni MIAKA 3 iliyopita Nov 2017 dhidi ya African Sport ya Tanga iliyokuwa imepanda Ligi wakati huo, kwa hiyo waache washangilie hivyo vitu kwao ni KIPOFU KUONA MWANGA, Tofauti na kule Msimbazi ushindi wa goli 5,6,7,8 ni kitu cha kawaida kila Mwaka.
 
Mleta uzi na wewe kwwanini unaumizwa na maneno ya wachambuzi mpaka ukawafungulia uzi?
 
Mleta uzi na wewe kwwanini unaumizwa na maneno ya wachambuzi mpaka ukawafungulia uzi?
Mkuu hiii tasnia ni ajira, ni burudani tosha kabisa na sasa ni Kitega Uchumi, kwanin turuhusu Makanjanja wachache kutumia kalamu zao na Midomo yao ovyo ovyoo!
 
Mkuu Kumbuka Boxer huyo huyo unayesema asiongelewe alikuwa ameanza kuitwa hadi timu ya Taifa. Kichuya akiwa Simba alikuwa akiwekwa Benchi utaskia redio zooooote zinalaaaani kuwekwa Benchi, lkn leo yuko Namungo anawekwa Benchi wala huskiiii kidudu mtu yeyote anawashwa.

Salamba vile vileeeee. Ndio najiuliza kwani Macho ya Wachambuzi yanaona Benchi la Simba tu. Mbona hayawaoni akina NINJA, MAKAPU, ALY ALY ambao ni wachezaji wa Kikosi cha kwanza cha Zanzibar Heroz lkn wanasugua benchiii?

Wachambuzi acheni kuwavuruga Wachezaji wa Simba na Uzandiki wenu.
Boxer ni mdogo kiumri...but hao kina Ndemla na Ajibu maji ya jioni
 
Swala la Kichuya kuna mmoja kamhoji baba yake Kichuya bila kuhoji upande wa pili anakimbilia kuandika story mwingine kaandika ishu ya Kichuya halafu anaenda kuhoji wadau anaojua kabisa ni wanasi wa yangs.
Utopolo umehamia hadi kwa waandishi
 
Sasahivi wachambuzi uchwara wanajifanya kuchambua penati ya simba na kmc lakini hawakuchambua penati ya yanga na kmc, goli la gwambina walipocheza na yanga ay penati ya yanga walipocheza na simba.
Hawa ndio wanawaaminisha upotolo wanaweza kuwa mabingwa wa Tanzania
 
Aliewaroga mbumbumbu nampa hongera.
Gadiel wakati yuko yanga alikuwa hakosi namba, team ya taifa alipiga chini tshabalala..
Ila alipokuja huko mikiani ,mkampiga benchi na team ya taifa akapoteza namba,..tshabalala akaanza kuitwa,
Yaani mmevumilia huyo beki wenu mpka karudi kwenye form ,mlishindwa nini kumpa nafasi gadiel?

Beno nae vipi ikiwa yanga alikuwa tegemeo?
Ajibu nae tumuongelee pia?
Ndemla miaka yote mnampa vidakika nusu nusu,Morrison vipi nae?

Sasa kina bahanuzi na busungu hata mgambo hawawachukui wamekwisha..

Mbumbumbu mnauwa vipaji vya wachezaji ,mnasajili kwa tamaa kama fisi
 
Swala la Kichuya kuna mmoja kamhoji baba yake Kichuya bila kuhoji upande wa pili anakimbilia kuandika story mwingine kaandika ishu ya Kichuya halafu anaenda kuhoji wadau anaojua kabisa ni wanasi wa yangs.
Utopolo umehamia hadi kwa waandishi
Hak wanazi wa yanga umewajuaje kwa sura wewe?

Mikia mnauwa wachezaji
 
Kuna mmmoja alimchokonoa Benno Kakolanya akaishia kula za Usso.
Mikia mnachekesha sana.
Yaani hapa mnafarijiana wenzenu kule wanaweka tu habari..mtawafanyeje?

Kwanini kila siku msemwe nyie tu?
Mpira wa kuhonga huko tff na marefa tumeshauchoka
 
Back
Top Bottom