Wachambuzi wa soka wa Kitanzania na Simba

Mikia mnachekesha sana.
Yaani hapa mnafarijiana wenzenu kule wanaweka tu habari..mtawafanyeje?

Kwanini kila siku msemwe nyie tu?
Mpira wa kuhonga huko tff na marefa tumeshauchoka
Hivi lusajo alitoka timu gani, mhilu.naye alitoka timu gani, luhende, dilunga wote waliachwa yanga lakini sasa wanaonekana bora
 
Wape ThArAaaaaaaM...
Andaaa Sare za Platinum wewe achana na sisi tunajadili Champions League.
Hizo habari za VPL ongea na MASAU BWIRE
 
Hivi lusajo alitoka timu gani, mhilu.naye alitoka timu gani, luhende, dilunga wote waliachwa yanga lakini sasa wanaonekana bora
Waliachwa sababu walishindwa onesha viwango iko wazi kabisa
Ila wewe utasema kuwa ajibu kashindwa onesha kiwango?
 
Kama walishindwa kuonyesha viwango mbona viwango vyao vipo juu mpaka mnatamani kuwasajili tena nyinyi ndio mnaongoza kuua viwango vya wachezaji
 
Kama walishindwa kuonyesha viwango mbona viwqngo vyao vipo juu mpaka mnatamani kuwasajili tena nyinyi ndio mnaongoza kuua viwango vya wachezaji
Ni kwamba pale yanga walifeli hilo liko wazi dilunga alirudi akacheza vizuri ndo mkamchukua ..

Hakurudisha kiwango akiwa simba.
Simba mna tabia ya kuchukua vilivyotengenezwa tayari ..
Halafu mnawasugulisha benchi

Beno na gadiel nao vipi ? Salamba?
Kaheza?
 
Ajib nyie ndio mlimtengeneza, kaheza unajua alianzia Simba b nikianza kukutajia wachezaji walioanzia simba b na sasa wanacheza timu nyingine ni wengi sana
 
Swala sio kuanzia wapi? Siku dhahabu huwa haitupwi kama kaheza angekuwa ni future nzuri mbona mkamtupilia gizani?

Wakamtengeneza ndo mkamchukua ,halafu mkamuua tena?

Bado salamba vipi hujajibu,
Dogo wenu yule Rashid juma huko wapi?
 
Nakujibu wewe unayedai ajib ametengenezwa na yanga halafu simba wamempoteza, nyie leo boxer yuko wapi
 
Naweza kusema ajibu mmemlea sisi ndo tumemkuza ..

Boxer yupo.muda wake bado.
Kibwana shomari ana uwezo mkubwa
Boxer ana mengi ya kujifunza kwa kibwana

Halafu jibu na ya kina beno,gadiel
 
Nonga

Tutajie kwanza Wachezaji wa Yanga B wanaong'ara kwenye VPL ukilinganisha na Wale waliotoka SIMBA B ambao Wanafika zaidi ya 30 kwenye VPL. Tuanzie hapo au unataka tukutajie Mazao ya Simba B Lunyasi.
 
Back
Top Bottom