Sawa Mzee wa Laliga de Utopolo.Inafananishwa na Barcelona na real Madrid tu hata mamelod hawagusi. Wana bonge la uwanja bunju linaitwa mo arena linaingiza watu 100k.
Utopolo ni jina la yanga hata kwanini haliwezi kubadilikaKweli simba ni utopolo
Utopolo ni timu mbovu mzeeUtopolo ni jina la yanga hata kwanini haliwezi kubadilika
Vyura Wanajaribu kulikataa hilo jina kwa kila namna lkn wapiiii, Utopolo itabaki Jangwani mpaka kiama.Utopolo ni jina la yanga hata kwanini haliwezi kubadilika
Ukitaja utopolo Tanzania kila mtu anajua ni jina la timu gani sema mnapenda kuhamisha magoli.kama Eymael alivyowaita mashabiki wa yanga majina ya kejeli mkadai kawatukana Tanzania nzimaUtopolo ni timu mbovu mzee
Kuna mmmoja alimchokonoa Benno Kakolanya akaishia kula za Usso.Wamekuwa wachochezi pia. na unafiki sio kwa simba tu ata kwa baadhi ya timu na wachezaji
Ndio Maana Wizara inasisitiza angalau wawe na Diploma ya Tasnia husika sisi tunaona kama wanaonewa, kumbe halali kabisa.Kazi ya waandishi ni kupasha habari na kukosoa panapotakiwa hatukatai, ila kuna huyu kijana priva uandishi wake hasa matukio ya simba unaona kabisa chuki ndani yake kwa baadhi ya wachezaji.
Rage siku nyingi alishasema walipo mbumbumbu
Halafu Utopolo wamesahau kwamba Tangu Mwadui ipande ndio timu pekee ambayo huwa wanaifunga magoli mengi kila Mwaka.Utopolo uwezo wenu mdogo sana ni zaidi ya mbumbumbu.
Jana kupata goli 5 wanataka kuandamana kudai wapewe kombe,bila kujua kuna timu ilimpa 6 na haioti hata kuwa top 3
Mkuu hiii tasnia ni ajira, ni burudani tosha kabisa na sasa ni Kitega Uchumi, kwanin turuhusu Makanjanja wachache kutumia kalamu zao na Midomo yao ovyo ovyoo!Mleta uzi na wewe kwwanini unaumizwa na maneno ya wachambuzi mpaka ukawafungulia uzi?
Boxer ni mdogo kiumri...but hao kina Ndemla na Ajibu maji ya jioniMkuu Kumbuka Boxer huyo huyo unayesema asiongelewe alikuwa ameanza kuitwa hadi timu ya Taifa. Kichuya akiwa Simba alikuwa akiwekwa Benchi utaskia redio zooooote zinalaaaani kuwekwa Benchi, lkn leo yuko Namungo anawekwa Benchi wala huskiiii kidudu mtu yeyote anawashwa.
Salamba vile vileeeee. Ndio najiuliza kwani Macho ya Wachambuzi yanaona Benchi la Simba tu. Mbona hayawaoni akina NINJA, MAKAPU, ALY ALY ambao ni wachezaji wa Kikosi cha kwanza cha Zanzibar Heroz lkn wanasugua benchiii?
Wachambuzi acheni kuwavuruga Wachezaji wa Simba na Uzandiki wenu.
Malalamiko fc kila siku ni nyuzi za kulalamika tu
Hak wanazi wa yanga umewajuaje kwa sura wewe?Swala la Kichuya kuna mmoja kamhoji baba yake Kichuya bila kuhoji upande wa pili anakimbilia kuandika story mwingine kaandika ishu ya Kichuya halafu anaenda kuhoji wadau anaojua kabisa ni wanasi wa yangs.
Utopolo umehamia hadi kwa waandishi
Mikia mnachekesha sana.Kuna mmmoja alimchokonoa Benno Kakolanya akaishia kula za Usso.