rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 16,784
- 23,312
Hivi lusajo alitoka timu gani, mhilu.naye alitoka timu gani, luhende, dilunga wote waliachwa yanga lakini sasa wanaonekana boraMikia mnachekesha sana.
Yaani hapa mnafarijiana wenzenu kule wanaweka tu habari..mtawafanyeje?
Kwanini kila siku msemwe nyie tu?
Mpira wa kuhonga huko tff na marefa tumeshauchoka
Wape ThArAaaaaaaM...Mikia mnachekesha sana.
Yaani hapa mnafarijiana wenzenu kule wanaweka tu habari..mtawafanyeje?
Kwanini kila siku msemwe nyie tu?
Mpira wa kuhonga huko tff na marefa tumeshauchoka
Waliachwa sababu walishindwa onesha viwango iko wazi kabisaHivi lusajo alitoka timu gani, mhilu.naye alitoka timu gani, luhende, dilunga wote waliachwa yanga lakini sasa wanaonekana bora
Kama walishindwa kuonyesha viwango mbona viwango vyao vipo juu mpaka mnatamani kuwasajili tena nyinyi ndio mnaongoza kuua viwango vya wachezajiWaliachwa sababu walishindwa onesha viwango iko wazi kabisa
Ila wewe utasema kuwa ajibu kashindwa onesha kiwango?
Ni kwamba pale yanga walifeli hilo liko wazi dilunga alirudi akacheza vizuri ndo mkamchukua ..Kama walishindwa kuonyesha viwango mbona viwqngo vyao vipo juu mpaka mnatamani kuwasajili tena nyinyi ndio mnaongoza kuua viwango vya wachezaji
Ajib nyie ndio mlimtengeneza, kaheza unajua alianzia Simba b nikianza kukutajia wachezaji walioanzia simba b na sasa wanacheza timu nyingine ni wengi sanaNi kwamba pale yanga walifeli hilo liko wazi dilunga alirudi akacheza vizuri ndo mkamchukua ..
Hakurudisha kiwango akiwa simba.
Simba mna tabia ya kuchukua vilivyotengenezwa tayari ..
Halafu mnawasugulisha benchi
Beno na gadiel nao vipi ? Salamba?
Kaheza?
Swala sio kuanzia wapi? Siku dhahabu huwa haitupwi kama kaheza angekuwa ni future nzuri mbona mkamtupilia gizani?Ajib nyie ndio mlimtengeneza, kaheza unajua alianzia Simba b nikianza kukutajia wachezaji walioanzia simba b na sasa wanacheza timu nyingine ni wengi sana
Nakujibu wewe unayedai ajib ametengenezwa na yanga halafu simba wamempoteza, nyie leo boxer yuko wapiSwala sio kuanzia wapi? Siku dhahabu huwa haitupwi kama kaheza angekuwa ni future nzuri mbona mkamtupilia gizani?
Wakamtengeneza ndo mkamchukua ,halafu mkamuua tena?
Bado salamba vipi hujajibu,
Dogo wenu yule Rashid juma huko wapi?
Naweza kusema ajibu mmemlea sisi ndo tumemkuza ..Nakujibu wewe unayedai ajib ametengenezwa na yanga halafu simba wamempoteza, nyie leo boxer yuko wapi
Tutajie kwanza Wachezaji wa Yanga B wanaong'ara kwenye VPL ukilinganisha na Wale waliotoka SIMBA B ambao Wanafika zaidi ya 30 kwenye VPL. Tuanzie hapo au unataka tukutajie Mazao ya Simba B Lunyasi.Naweza kusema ajibu mmemlea sisi ndo tumemkuza ..
Boxer yupo.muda wake bado.
Kibwana shomari ana uwezo mkubwa
Boxer ana mengi ya kujifunza kwa kibwana
Halafu jibu na ya kina beno,gadiel