Wachambuzi watoa picha kuonesha Israel imeshindwa vita

Wachambuzi watoa picha kuonesha Israel imeshindwa vita

Webabu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2010
Posts
8,870
Reaction score
14,258
Baadhi ya nukta walizotoa wachambuzi hao ni kuwa wakati Israel inadai imewaua Hamas wengi sana lakini viongozi wakuu wa kundi hilo ama wako nje au wako chini ya mahandaki na hawajawapata.

Pia Israel imeshatangaza mara kadhaa kuwa imeyadhibiti maeneo ya kaskazini na kati ya Gaza,lakini bado kila siku mapigano yanaendelea,makombora yanarushwa Israel na askari wa IDF wanauliwa.

Ikija upande wa mateka ndio kabisa wakati vita vinaingia mwezi wa sita mateka waliopatika hawafiki hata 5 na waliobaki Israel imeshindwa kabisa kujua walipo.

Hamas kabla ya oktoba 7 na vita kuanza ilikuwa iko zaidi upande wa Gaza,miezi 6 baadae wapalestina wa Jerusalem na ukingo wa magharibi ndio wameikubali zaidi Hamas kama mkombozi wa Palestina.

Kufikia miezi sita ya vita Israel na uongozi wa juu umefanya matendo ambayo yamefanya wachukiwe zaidi na washirika na wafadhili wao.

Zaidi ya yote wachambuzi hao wamesema Israel haina njia ya kutokea kwenye mzozo huo wa kivita.

Six months into the war in Gaza, Israel has no exit strategy and no real plan for the future

 
Always kwa Muslim kuamini wanawashinda Israel hata waliponyang'anywa Golan Heights, Jerusalem walisema walishinda.. and kila mwaka wanasheherekea ushindi wao wa kupoteza maeneo baada ya vita...hahahaha
 
Always kwa Muslim kuamini wanawashinda Israel hata waliponyang'anywa Golan Heights, Jerusalem walisema walishinda.. and kila mwaka wanasheherekea ushindi wao wa kupoteza maeneo baada ya vita...hahahaha
Ukiangalia hapo juu wala waliosema si waislamu peke yao.
Hebu fungua usome mwanzo mpaka mwisho.
 
Back
Top Bottom