Wachambuzi wetu wanachumbua dereva wa bodaboda apigwe na dereva wa fuso

Good good analysis........
 
Lazima mfahamu kuwa hii dunia Ina wachezaji wazuri na wenye vipaji ambao timu kubwa haziwezi kuwasajili wote. Ndio maana unawaona akina Mayelle, pacome, nzengeli, Ibrahim Bacca ambao walikuwa hawafahamiki wamekwenda kuibukia Yanga. Sio kwamba Al-ahly na mamelods wamewachukua wachezaji wooote wazuri Africa na timu nyingine Zina makapi TU. Kinachokosekana ni Wachezaji wa timu ndogo kujituma na kujielewa tu. Ndio maana Ihefu wallifunga Yanga na prison waliifunga Simba na arsenal aliukosa ubingwa wa ligi kwa kufungwa na "timu ndogo" EPL. Ni Wachezaji kujituma TU ndio kunakoleta tofauti n sio ukubwa wa uwekezaji.
 
Na wewejkwa fikra zako ukichambua kati ya young vs mamelod au simba vs al ahly unadhani nani watapewa nafasi kubwa ya ushindi..
 
Unafikiri ni kujituma na kujielewa tu ndio kunaipa mafanikio akina Man city au Real Madrid ? Kwamba fulham au westham hawjitumi na kujielewa kuliko liverpool ndio maana hawana mafanikio kama liverpool? Suala la kuwepo wachezaji wazuri kadhaa ndani ya timu ya kawaida hilo ni suala la kawaida lakini haiondoi ukweli kuwa timu zinazidiana ubora.
 
Hivi mkuu Tanzania tuna wachambuzi? Hawa hawa akina Kazumari? Hawa hawa akina Baba Levo, Mwalimu wa UPE Oscar Oscar? Akina Shaffi Dauda? We are not serious!
 
Mkuu ni pamoja na gari ya wachezaji. Hivi unataka kuniambia Bochum kumfunga Bayern ana wachezaji Bora kuzidi Bayern FC? Wachambuzi wasidanganye watu kwenye soka kila kitu kinawezekana! Al Ahly na Mamelodi wanaweza kukalishwa tena vizuri tu! Tuwape hamasa wachezaji wetu lila kitu kinawezekana! Mamelodi na ubora wake lakini alitolewa kamasi na TP Mazembe!
 
Tunatiana moyo tu naiona yanga ikifanya mikimbio mikimbio tu uwanjani shughuli ni nzito mamelodi ni level nyingine.
 
Na wewejkwa fikra zako ukichambua kati ya young vs mamelod au simba vs al ahly unadhani nani watapewa nafasi kubwa ya ushindi..
Timu itakayojituma, kutumia nafasi na yenye bahati. Kumbuka kuwa ziko siku ambazo magori yanagonga mwamba na kutoka nje na ziko siku timu inacheza na wachezaji pungufu kwa bahati mbaya na ziko siku kipa na beki wanajichanganya wenyewe kwa bahati mbaya. Ndiyo maana uliona Simba ilitoka sare na Al-ahly.
 
Unaongelea timu zenye wachezaji ambao wamezifikisha timu zao kwenye robo finali achana na Fulham na man city. Zungumzia Man City na PSG au Byern
 
Na wewejkwa fikra zako ukichambua kati ya young vs mamelod au simba vs al ahly unadhani nani watapewa nafasi kubwa ya ushindi..
Usiangalie historia ya timu, angalia current form (cross sectional study). Angalia Leo timu Iko na akina nani.
 
Hivi mkuu Tanzania tuna wachambuzi? Hawa hawa akina Kazumari? Hawa hawa akina Baba Levo, Mwalimu wa UPE Oscar Oscar? Akina Shaffi Dauda? We are not serious!
Tafuta clips zao Kabla ya mechi ya marudio ya Yanga vs CR Belouzdad ndio utajua hatuna wachambuzi.
 
Madereva wa malori makubwa akili zao wanazijua wenyewe
Wachambuzi wetu wanadhani dereva wa treni ana nguvu nyingi kuliko derva wa Bajaj, mara zote na siku zote madereva wa Bajaj lazima wabondwe na wale wa magari moshi. Nonsense¡!
 
ukisikiliza maswali wanayouliza kwenye mikutano ya pre-matches utajua tu tuna vihiyo wengi kwenye tasnia.
 
Wachambuzi wetu wameumbuka kwa mara nyingine kwa Yanga vs mamelodi. Warudi wakaangalie video clips zao Kabla ya mechi.
 
Tunatiana moyo tu naiona yanga ikifanya mikimbio mikimbio tu uwanjani shughuli ni nzito mamelodi ni level nyingine.
Umeona ulichoandika hakina uhalisia? Hujui mpira, unataka Simba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…