Dick mrisho
JF-Expert Member
- Dec 21, 2018
- 305
- 580
😷😷🏃🏃
Na visasi pia vitatumika sana kwenye hili sakata la corona. Watu watakuja kugutuka muda umeendaNakuunga mkono mtoa mada, hilo la kipindupindu niliwahi kulisikia huko kanda ya ziwa, hadi kipindi cha kiangazi na pengine siyo msimu wa maembe kipindupindu kinakula vichwa......saa hizi kila kifo atasingiziwa korona, hata kama kuna ulozi au sumu imetumika...
Story za watu kugeuzwa misukule ni ukweli mtupu kwako unapatwa na walakini kwasababu hujafunuliwa katika ulimwengu wa mambo yasiyo onekananakumbuka miaka hiyo tulikuwa primary watu walikufa sana na kipindupindu dispensary iliyokuwa na kambi ya wagonjwa ilikuwa jirani na shule
hadi leo makaburi ya waliozikwa kwa kufia pale yapo pembezoni na hospitali
Hizo story za watu kugeuzwa misukule tulikuwa tunazisikia sana tu kipindi hicho ila sijui kama ilikuwa ni kweli
Aisee.. Basi ngoja niseme neno... Wachawi pamoja na kusemwa vibaya lakini ni watu wanaothamini sana ubora
Mchawi haaguzi broiler
Mchawi hachukui pesa mbovu wala iliyochanika
Mchawi harogi mgonjwa
Mchawi harogi mlemavu
Mchawi hali ndaza(viporo)
Mchawi hachukui damu iliyogganda
Jr[emoji769]
Yeah mfano vile vifo vya ghafla vya wanafamilia ambavyo vilikua vinahusishwa na uchawi saizi vitasomeka kama corona.Mkuu Mshana Jr sikumaanisha mchawi anaroga mgonjwa ninachomaanisha hapa wachawi wataanza kuroga watu wazima ila kisingizo cha ugonjwa kitakuwa corona