Wachawi kutumia janga la corona kuumiza watu

Hiyo kitu haipo,,Hawa watu wanaoondoka ghafla wafanyiwe uchunguzi,,post moterm,baadhi vifua vifunguliwe wataalamu waone hasa Nini kinatokea Hadi kukatisha maisha ghafla hivyo,
Wasiogope kutafiti,wavae PPE waingie mzingoni
 
nakumbuka miaka hiyo tulikuwa primary watu walikufa sana na kipindupindu dispensary iliyokuwa na kambi ya wagonjwa ilikuwa jirani na shule
hadi leo makaburi ya waliozikwa kwa kufia pale yapo pembezoni na hospitali

Hizo story za watu kugeuzwa misukule tulikuwa tunazisikia sana tu kipindi hicho ila sijui kama ilikuwa ni kweli
 
Na visasi pia vitatumika sana kwenye hili sakata la corona. Watu watakuja kugutuka muda umeenda
 
Story za watu kugeuzwa misukule ni ukweli mtupu kwako unapatwa na walakini kwasababu hujafunuliwa katika ulimwengu wa mambo yasiyo onekana
 

[emoji848][emoji848][emoji848]
 
Nakumbuka enzi zile UKIMWI umeshika kasi, watu wakaanza kupigana ndumba unakonda ile ile... enzi hizo ngoma inaitwa β€˜SILIMU’.
 
Mkuu Mshana Jr sikumaanisha mchawi anaroga mgonjwa ninachomaanisha hapa wachawi wataanza kuroga watu wazima ila kisingizo cha ugonjwa kitakuwa corona
Yeah mfano vile vifo vya ghafla vya wanafamilia ambavyo vilikua vinahusishwa na uchawi saizi vitasomeka kama corona.

Unaeza chinja familia nzima kishirikina na watu wakaja sema ni kungfu virus. [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…