kipele cha ndevu
Senior Member
- Jan 22, 2018
- 161
- 117
Yale aliyokuwa ameyashika, inawezekana kigagula aliona umemletea dharau akaamua kukugeuzia kibao, kwa kweli huyo atakuwa popobawa mwenye jinsia mbili, yaani two in one, akitaka kula ndonya anakula na akitka kula mduara anakula, hatariiiYapo salama mkuu
[emoji23] [emoji2] [emoji23] [emoji23] upepo kisogoni, kwa hiyo ndonya imedonolewaKuna upepo wa moto ulikua unakupuliza kisogoni?naomba jibu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Lakini huyu jamaa anabahati sana. Yani kaotea kumshika jinamizi kalio?
Hii Wiki ya 10 na ngapi vile!!! Test si wiki ya 15 ee feb hapo.Sawa bhn
Nasikia ukijitahidi kuchezesha japo kidole anakuachiaHuyo ni Jingamizi mkuu kitu kama hicho!
Haupo huru mkuu,Tukisema okokeni mnasema hakuna kuokoka duniani, tukisema mwaminini Yesu mnasema ukristo ni dini yawazungu, cye tuliookaka hatukani nambo ya namna hiyo, kabla cjaokoka niliteswa sana wachawi kwa namna hyohyo, bat today I thanks God through Jesus Christ nau niko huru, Mwamini Yesu mkuu nawe utaokoka nakadhia hiyo.
ni kweli,hata mimi nikiwa mdogo ilikuwa ikinitokea sana!Nasikia ukijitahidi kuchezesha japo kidole anakuachia
Ni kweli kabisa Mara nyingi kumhamisha mtu katika imani alionayo hua ni shida sana mtu huyo kuuamini ukweli halisi,na kitu kingine nilicho gundua hapo na hawa viongozi wa dini wanachangia kuwatia watu imani kua uchawi upoHehehee! Hiyo kitu imeshanitokea mara kibao mpaka nikaamua kufanya utafiti. Haina uhusiano wowote na uchawi kama watu wengi tunavyofundishwa (siingilii imani za watu). Inaitwa Sleep Paralysis. Kinachotokea ni kwamba, subconscious part of the brain inakua kwenye ndoto (kumbuka hii ndio ina control movements za viungo wakati ukiwa usingizini) halafu ghafla the conscious part of the brain inaamka.
Sasa kimbembe ni kwamba, ukakua kwenye ndoto, mara nyingi za kutisha, then unapata fahamu wakati mwili bado uko ndotoni, unataka kufanya movement hauwezi. Unatamani kupiga kelele haitoki. Basi inakua taabu tupu. Ila inakaa muda mfupi (ranging from seconds to minutes).
Ni tatizo kubwa. Kuna vitu havihitaji mambo ya imani za kidini, sababu wakati mwingine inaleta hofu saana. Utafiti wa kisayansi umeshatuletea majibu sahisi. Tukiyafanyia kazi itasaidia kuepukana na imani zisizo sahihiNi kweli kabisa Mara nyingi kumhamisha mtu katika imani alionayo hua ni shida sana mtu huyo kuuamini ukweli halisi,na kitu kingine nilicho gundua hapo na hawa viongozi wa dini wanachangia kuwatia watu imani kua uchawi upo
Mi sijakuelewa kabisa mkuu hayo yote uliosema hapo umemaanisha niniTumekuja kwako tukakuta mlango wazi tukaingia kiulaini tumefanya mambo kibao mengine hata hujasema mtu gani unalala kama gunia hukumbuki MUNGU wako tukajua chakula
Ni kweli kabisa mkuuNi tatizo kubwa. Kuna vitu havihitaji mambo ya imani za kidini, sababu wakati mwingine inaleta hofu saana. Utafiti wa kisayansi umeshatuletea majibu sahisi. Tukiyafanyia kazi itasaidia kuepukana na imani zisizo sahihi
Hukusali kumuomba MUNGU wako ndo maana tukajiachiaMi sijakuelewa kabisa mkuu hayo yote uliosema hapo umemaanisha nini