Wachawi mliopo JF nitoleeni ufafanuzi wa hiki kilichonitokea usiku.

Wachawi mliopo JF nitoleeni ufafanuzi wa hiki kilichonitokea usiku.

Yapo salama mkuu
Yale aliyokuwa ameyashika, inawezekana kigagula aliona umemletea dharau akaamua kukugeuzia kibao, kwa kweli huyo atakuwa popobawa mwenye jinsia mbili, yaani two in one, akitaka kula ndonya anakula na akitka kula mduara anakula, hatariii
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jf sihamii asee

Uwe unasali kabla ya kulala na huo mlalo acha kuulala
 
Tukisema okokeni mnasema hakuna kuokoka duniani, tukisema mwaminini Yesu mnasema ukristo ni dini yawazungu, cye tuliookaka hatukani nambo ya namna hiyo, kabla cjaokoka niliteswa sana wachawi kwa namna hyohyo, bat today I thanks God through Jesus Christ nau niko huru, Mwamini Yesu mkuu nawe utaokoka nakadhia hiyo.
Haupo huru mkuu,

Usidanganye watu tukio la jamaa hakuna uchawi wala nn ni uchovu tuu

Ulokole ni ulevi km ulevi mwingine tuu ukiwa addicted unamuona mwingine km falaa tuu

Siasa
Ulokole
Elimu
Madawa ya kulevya
Pombe
Dini

Hivyo kitu ukiwa addicted mbya sana
 
Hayo ndio mazoezi ya kujiandaa na kifo na humtokea kila mtu anapokaribia kufa mkuu, hii elimu wachungaji na mashekh hawataki kuitoa mana wanajua kuwa waumini wao hawapendi kufa. Ni hayo tu mkuu.
 
Hivi majuzi niliongea kidogo kuhusu mada hii kumbe bada mjadala unaendelea nitadonoa kidogo mda huu. Wakuu uchawi mpya hakuna ila kuna uchawi asili ambao haudhuru na kila mnyama aina ya binadamu anao. Uchawi asili hubadirika na kua si rafiki kwa binadamu paletu MTU anapoamini kua anadhurika na uchawi huu.Mfumo wa binadamu alivyo ndani ya mwili wake ni uchawi tosha kwani ndani ya mwili wake kuna viumbe hai vinavyoishi ndani yake. Viumbe hivyo ni rafiki ya mwili.Sasa shida inaijia pale unapokula kupita kiasi ndio shida inaijia hapo.Kawaida binadamu anarobo NNE ya open space katika mwili wake robo ya kwanza ni ya viumbe hai vinavyoishi ndani yake ambayo nafasi yake imeshajaa viumbe hai kwahiyo nafsi ilio Baki ni robo tatu tu, Robo ya kwanza ni ya chakula ya pili maji na ya tatu ni ya hewa sasa unapokula kupita kiasi inamaana hapo umetumia na hizo robot mbili ambayo moja ni ya maji na ya pili ni ya hewa ukashiba hivyo utakua umezuia maji pamoja na hewa visiingie sasa kumbuka mwili unahitaji hewa na maji,Shida huja pale mwili unapohitaji hewa na maji wakati wewe uko usingizini hapo ubongo inabidi ufanye kazi ya ziada kukufanya usife ubongo hapo huruhusu kimeng'enya kiitwacho ingiotesin 1 kuwa angiotesin 2 ambapo ikifanyika hivyo husababisha Aldosterone izalishwe ambayo hii Aldosterone ikikutana na Angiotesin 2 husababisha shinikizo kwa kuongeza maji na utakumbuka nafsi ya maji haipo na maji yakiongwzeka ndio shida hiyo ya mawewe katika usingizi na hapo ukiamini hali hiyo ni uchawi umekwisha kwani magonjwa mengi huitumia nafsi hiyo kupenya mwilini
 
Hehehee! Hiyo kitu imeshanitokea mara kibao mpaka nikaamua kufanya utafiti. Haina uhusiano wowote na uchawi kama watu wengi tunavyofundishwa (siingilii imani za watu). Inaitwa Sleep Paralysis. Kinachotokea ni kwamba, subconscious part of the brain inakua kwenye ndoto (kumbuka hii ndio ina control movements za viungo wakati ukiwa usingizini) halafu ghafla the conscious part of the brain inaamka.

Sasa kimbembe ni kwamba, ukakua kwenye ndoto, mara nyingi za kutisha, then unapata fahamu wakati mwili bado uko ndotoni, unataka kufanya movement hauwezi. Unatamani kupiga kelele haitoki. Basi inakua taabu tupu. Ila inakaa muda mfupi (ranging from seconds to minutes).
 
Ni kweli kabisa Mara nyingi kumhamisha mtu katika imani alionayo hua ni shida sana mtu huyo kuuamini ukweli halisi,na kitu kingine nilicho gundua hapo na hawa viongozi wa dini wanachangia kuwatia watu imani kua uchawi upo
 
Ni tatizo kubwa. Kuna vitu havihitaji mambo ya imani za kidini, sababu wakati mwingine inaleta hofu saana. Utafiti wa kisayansi umeshatuletea majibu sahisi. Tukiyafanyia kazi itasaidia kuepukana na imani zisizo sahihi
 
Tumekuja kwako tukakuta mlango wazi tukaingia kiulaini tumefanya mambo kibao mengine hata hujasema mtu gani unalala kama gunia hukumbuki MUNGU wako tukajua chakula
 
Tumekuja kwako tukakuta mlango wazi tukaingia kiulaini tumefanya mambo kibao mengine hata hujasema mtu gani unalala kama gunia hukumbuki MUNGU wako tukajua chakula
Mi sijakuelewa kabisa mkuu hayo yote uliosema hapo umemaanisha nini
 
Ni tatizo kubwa. Kuna vitu havihitaji mambo ya imani za kidini, sababu wakati mwingine inaleta hofu saana. Utafiti wa kisayansi umeshatuletea majibu sahisi. Tukiyafanyia kazi itasaidia kuepukana na imani zisizo sahihi
Ni kweli kabisa mkuu
 
Mungu amenipa amri ya kukanyaga nyoka na nge na nguvu zote za yule adui na wala hakuna kitachonidhuru. ndugu lazima nisali kwakua najua mungu kishanipa kibali cha kuwakanyaga maadui wote
 
Back
Top Bottom