Hakuna cha popo bawa mkuu unachotakiwa ni kumkaribisha mungu ndani yako ukifanya hivyo hakuna yoyote ataekua na mamlaka ya kufanya jambo bila idhini yako kwakoPole Mkuu... Popobawa kakupitia huyo.
Tukio aloleta mleta mada Limetokea tayari au bado?Hakuna cha popo bawa mkuu unachotakiwa ni kumkaribisha mungu ndani yako ukifanya hivyo hakuna yoyote ataekua na mamlaka ya kufanya jambo bila idhini yako kwako
Tunaelewa kabisa mkuu ndo maana mawazo mazungumzo kama haya yanaendelea hadi sasa, mleta mada alisema alilala kisha akawa anashika ma yakukalia kwa kuhisitu akahisi ni ya mwanamke na mwanamke huyo akasogea mbele ghafla akaona anakandamizwa kujiokoa akawa anashindwa.Hiyo ndio mada mkuu.Tukio aloleta mleta mada Limetokea tayari au bado?
Maana Sijui watu mnakuwa mnaelewaga hizi posti au mnadandia tu. Sasa kama kapitiwa na popobawa jana, leo amkaribisha mungu litafutika tukio la jana?
Nasio kama litafutika tukio hilo ila tunamshauri siku zote anapotaka kufanya jambo amtangulize mungu iwe kula kunya kufanya kazi hata ku do iwe mke au mpenzitu kulala hata kukaa ili nafsi kama hizi za shetani kushika akili yake zisipatikaneTunaelewa kabisa mkuu ndo maana mawazo mazungumzo kama haya yanaendelea hadi sasa, mleta mada alisema alilala kisha akawa anashika ma yakukalia kwa kuhisitu akahisi ni ya mwanamke na mwanamke huyo akasogea mbele ghafla akaona anakandamizwa kujiokoa akawa anashindwa.Hiyo ndio mada mkuu.
Mhh!Kaka, huyo aliyekuwa kalala kitandani ni mchawi mwanamke na tayari ulisha Fanya nae mapenzi wakati Uko usingizini. Yawezekana akawa mke au binti wa mwenyenyumba. Au yawezekana akawa wa nyumba jirani, ila ujue ni mchawi.
Wachawi huwatoa watu usiku na kwenda kuwalimisha mashambani, au kuwafanya viti vyama kukalia kwenye mikutano au karamu zao. Na katika karamu zao, ngono holela huwa ni moja wapo ya matukio. Na hao wanaochukuliwa huwa wanafanyiwa hayo Lakini hawawezi kujua.
Hivyo nakushauri. Kama wewe ni Mkristo ,sali kabla ya kulala, na ujitahidi kuwa karibu na Mungu hasa kwa njia ya maombi bado hujachelewa.
Huo moto uliousikia mgongoni, ni pumzi yake aliyokuwa akikupumlia. Vile vile inawezekana likawa ni demon la kike (sucubi) ambalo hutumwa kwa Mtu hasa mwanaume anayejifanya kiburi kwa jambo aliloambiwa kufanya akakataa kama vile mwanamke akikutaka kimapenzi ukamkataa, tegemea matukio kama hayo.
Kama ungekuwa umelala chali ningesema ni Astra projection, Lakini kwa kulala kifudifudi, haiwezekani ikwa astra projection.pole sana kaka, angalia labda unawaringia wanaokutaka kimapenzi. Take care.
Keshaliwa mtu hapo ..Yani Ni Bora asingemshika matako ..Popobawa kapita,hebu fafanunua pole
Acha wizi, niroge mie ntakupa lakiMimi nimchawi, ngojanikueleze Kilichokutokea kabra yamaelezo utaripia Tsh, 10000.kama ukotayari njoo pm