Wachawi mliopo JF nitoleeni ufafanuzi wa hiki kilichonitokea usiku.

Pole Mkuu... Popobawa kakupitia huyo.
Hakuna cha popo bawa mkuu unachotakiwa ni kumkaribisha mungu ndani yako ukifanya hivyo hakuna yoyote ataekua na mamlaka ya kufanya jambo bila idhini yako kwako
 
Mimi ni mchawi mwenye certificate wacha PHD watufumbue macho
 
Hakuna cha popo bawa mkuu unachotakiwa ni kumkaribisha mungu ndani yako ukifanya hivyo hakuna yoyote ataekua na mamlaka ya kufanya jambo bila idhini yako kwako
Tukio aloleta mleta mada Limetokea tayari au bado?

Maana Sijui watu mnakuwa mnaelewaga hizi posti au mnadandia tu. Sasa kama kapitiwa na popobawa jana, leo amkaribisha mungu litafutika tukio la jana?
 
Ulihishi umeshika tako[emoji1] [emoji1] ...ebu kamuulize yule wa awamu ya tatu nchini atakwambia
 
Hao ni wanga mkuu,, straight,,, huyo alikuwa mwanga,,,subiri nabii Tito atoke lupango akupigie maombi
 
Jitahidi uwe unapata kapisi kamoja ka mjamaikani kila iitwapo jioni tatzo lako litapotea kbsa
 
Tukio aloleta mleta mada Limetokea tayari au bado?

Maana Sijui watu mnakuwa mnaelewaga hizi posti au mnadandia tu. Sasa kama kapitiwa na popobawa jana, leo amkaribisha mungu litafutika tukio la jana?
Tunaelewa kabisa mkuu ndo maana mawazo mazungumzo kama haya yanaendelea hadi sasa, mleta mada alisema alilala kisha akawa anashika ma yakukalia kwa kuhisitu akahisi ni ya mwanamke na mwanamke huyo akasogea mbele ghafla akaona anakandamizwa kujiokoa akawa anashindwa.Hiyo ndio mada mkuu.
 
Kaka, huyo aliyekuwa kalala kitandani ni mchawi mwanamke na tayari ulisha Fanya nae mapenzi wakati Uko usingizini. Yawezekana akawa mke au binti wa mwenyenyumba. Au yawezekana akawa wa nyumba jirani, ila ujue ni mchawi.
Wachawi huwatoa watu usiku na kwenda kuwalimisha mashambani, au kuwafanya viti vyama kukalia kwenye mikutano au karamu zao. Na katika karamu zao, ngono holela huwa ni moja wapo ya matukio. Na hao wanaochukuliwa huwa wanafanyiwa hayo Lakini hawawezi kujua.
Hivyo nakushauri. Kama wewe ni Mkristo ,sali kabla ya kulala, na ujitahidi kuwa karibu na Mungu hasa kwa njia ya maombi bado hujachelewa.
Huo moto uliousikia mgongoni, ni pumzi yake aliyokuwa akikupumlia. Vile vile inawezekana likawa ni demon la kike (sucubi) ambalo hutumwa kwa Mtu hasa mwanaume anayejifanya kiburi kwa jambo aliloambiwa kufanya akakataa kama vile mwanamke akikutaka kimapenzi ukamkataa, tegemea matukio kama hayo.
Kama ungekuwa umelala chali ningesema ni Astra projection, Lakini kwa kulala kifudifudi, haiwezekani ikwa astra projection.pole sana kaka, angalia labda unawaringia wanaokutaka kimapenzi. Take care.
 
Nasio kama litafutika tukio hilo ila tunamshauri siku zote anapotaka kufanya jambo amtangulize mungu iwe kula kunya kufanya kazi hata ku do iwe mke au mpenzitu kulala hata kukaa ili nafsi kama hizi za shetani kushika akili yake zisipatikane
 
Kaka, huyo aliyekuwa kalala kitandani ni mchawi mwanamke na tayari ulisha Fanya nae mapenzi wakati Uko usingizini. Yawezekana akawa mke au binti wa mwenyenyumba. Au yawezekana akawa wa nyumba jirani, ila ujue ni mchawi.
Wachawi huwatoa watu usiku na kwenda kuwalimisha mashambani, au kuwafanya viti vyama kukalia kwenye mikutano au karamu zao. Na katika karamu zao, ngono holela huwa ni moja wapo ya matukio. Na hao wanaochukuliwa huwa wanafanyiwa hayo Lakini hawawezi kujua.
Hivyo nakushauri. Kama wewe ni Mkristo ,sali kabla ya kulala, na ujitahidi kuwa karibu na Mungu hasa kwa njia ya maombi bado hujachelewa.
Huo moto uliousikia mgongoni, ni pumzi yake aliyokuwa akikupumlia. Vile vile inawezekana likawa ni demon la kike (sucubi) ambalo hutumwa kwa Mtu hasa mwanaume anayejifanya kiburi kwa jambo aliloambiwa kufanya akakataa kama vile mwanamke akikutaka kimapenzi ukamkataa, tegemea matukio kama hayo.
Kama ungekuwa umelala chali ningesema ni Astra projection, Lakini kwa kulala kifudifudi, haiwezekani ikwa astra projection.pole sana kaka, angalia labda unawaringia wanaokutaka kimapenzi. Take care.
Mhh!
 
Hakuna uchawi. Woga wako ndio unaokuroga. Nakumbuka zamani tukiwa watoto wadogo wakati wa kulala kibatari kikizimwa nafumba macho had asubuhi kukuche kwa kuogopa giza. Nikifumbua naona watu wamevaa kanzu.
 
Back
Top Bottom