Mr the dragon
JF-Expert Member
- Apr 14, 2017
- 1,937
- 3,718
TangaWapi huko?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
TangaWapi huko?
Njoo huku tulaleTanga
Lile tatizo la kunuka mdomo umesha lipatia ufumbuzi[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]Mkuu hapo kilichokupata si uchawi.
Uchawi ni matokeo ya athari unazozipata baada ya aliyedhamiria uwe kisha ikawa. Sasa kwa kitendo chako cha kupatwa na yale yaliyokupata umearhirika nini? Kama hamna basi naungana na wale wanaosema ukapime malaria.
Ila kwa kitendo cha kuota moto (sasa hapa napata shida maana mara useme ni ndoto mara useme ni real) basi hiyo nyumba unayokaa ramli yangu inanionesha kuna mwanamke anakupenda na alikuja kufanya mapenzi na wewe usiku bahati mbaya ukawa umelala kifudifudi. Ni pm nikujuze zaidi kama utapenda.
Nimekusoma mkuu kumbe ufaham unaweza kuamuka halafu mwili umelala.hahahaha mi nimecheka tu uliposema umeshika makalio ya kike vp umeona noma kusema ya kiumee? usingeweza kuita sababu hisia ya ndani ndio inakuwa macho nahapo ulianza kuota kuwa unashika makalio uliposhtuka uliamka ufahamu wa ndani ila mwili haukuamka na ndio maana hata ukizungusha macho unakuwa unaona vizuri tu ila kimbembe ni kujinasua tu
njoo kwangu bidada kuna usalama kwa jina la Yesu ila kwa huo uzuri ulionao sijui....................Ameenda kwao jana. Naogopa kulala kwangi sijui nikalale wapi leo
Unamsubiri mchawi?Pole,wewe unaogopa kulala mimi leo namsubiri kwa hamu
Lakini huyu jamaa anabahati sana. Yani kaotea kumshika jinamizi kalio?Huyo ni Jingamizi mkuu kitu kama hicho!