Wachawi na waganga wote wakutana usiku huu kuinusuru Geita Gold isishuke daraja

mdukuzi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
20,925
Reaction score
51,688
Moto umeshawashwa,masufuria tayari kwa ajili ya nyama la kafara.

Mgeni rasmi kutoka Gambush, anasubiriwa ili kuanza ibada Rais wa wa wachawi lake zone

Azam ama zao ana zetu
 
Mdukuzi umedukuliwa amaa🤪
 
Moto umeshawashwa,masufuria tayari kwa ajili ya nyama la kafara.
Mgeni rasmi kutoka Gambush, anasubiriwa ili kuanza ibada Rais wa wa wachawi lake zone
Azam ama zao ana zetu
Kwamba Azam afungwe Simba ashinde Ili Simba na geita mambo safi!!?
 
Moto umeshawashwa,masufuria tayari kwa ajili ya nyama la kafara.
Mgeni rasmi kutoka Gambush, anasubiriwa ili kuanza ibada Rais wa wa wachawi lake zone
Azam ama zao ana zetu
Mnawachosha wachawi ila kumbukeni kiendacho kwa mganga hakirudi, waganga hoyeee!
 
Geita tutunzieni heshima huku mkijiokoa. Utopolo tushirikiane kwenye hili, roga Fei asifunge
 
Shida ya geita hata akishinda bado inabidi aombe tabora nayo ifungwe ili asishuke
 
Geita tutunzieni heshima huku mkijiokoa. Utopolo tushirikiane kwenye hili, roga Fei asifunge
Kila mtu ashinde match zake,leo maji yamezidi unga ndio mnaomba msaada wetu. Azam piga hao Geita ili My Wetu aende Shirikisho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…