Wachawi wa Lissu na Mbowe ujumbe utakuwa Umewafikia

Wachawi wa Lissu na Mbowe ujumbe utakuwa Umewafikia

brazaj

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2016
Posts
31,698
Reaction score
41,733
Ni nia ya Chadema kuona haki inazingatiwa.

Haya yako wazi kutoka kwa Mh. Mbowe kama ilivyo kutokea kwa Mh. Lissu.

IMG_20220318_132359_074.jpg


Kwenu wakaanga mbuyu, tujenge nchi kwa haki.

Hii nchi ni yetu sote.
 
Kuna dada alishuka na uzi wake hapa JF akiwa tayari kuyaoga "matusi". Sijui kapotelea wapi tena!

Walipo sikia press conference nao wakaona wajumbe kuweka yao:

IMG_20220318_161629_171.jpg


IMG_20220318_161647_811.jpg
 
Muwe serious basi unadhani kuna mtu makini afuatilie habari za ccm ilihali kuna habari ya chadema? Hata zitto toka atoke chadema hajawahi kua na mvuto tena maana chadema ni kama imani ndio maana magufuli alijidanganya kuiua akashindwa
 
Amani nikichaka Cha ccm kudhibitia upinzani kwamba wanavuruga amani akati amani yenyewe hakuna hakuna kwani amani inaviwango vyake
 
Back
Top Bottom