B brazaj JF-Expert Member Joined Jul 26, 2016 Posts 31,698 Reaction score 41,733 Mar 18, 2022 #1 Ni nia ya Chadema kuona haki inazingatiwa. Haya yako wazi kutoka kwa Mh. Mbowe kama ilivyo kutokea kwa Mh. Lissu. Kwenu wakaanga mbuyu, tujenge nchi kwa haki. Hii nchi ni yetu sote.
Ni nia ya Chadema kuona haki inazingatiwa. Haya yako wazi kutoka kwa Mh. Mbowe kama ilivyo kutokea kwa Mh. Lissu. Kwenu wakaanga mbuyu, tujenge nchi kwa haki. Hii nchi ni yetu sote.
B brazaj JF-Expert Member Joined Jul 26, 2016 Posts 31,698 Reaction score 41,733 Mar 18, 2022 Thread starter #2 nazidaka said: Kuna dada alishuka na uzi wake hapa JF akiwa tayari kuyaoga "matusi". Sijui kapotelea wapi tena! Click to expand... Walipo sikia press conference nao wakaona wajumbe kuweka yao:
nazidaka said: Kuna dada alishuka na uzi wake hapa JF akiwa tayari kuyaoga "matusi". Sijui kapotelea wapi tena! Click to expand... Walipo sikia press conference nao wakaona wajumbe kuweka yao:
rich1 JF-Expert Member Joined Jul 31, 2015 Posts 3,020 Reaction score 3,309 Mar 18, 2022 #3 Chadema kama WCB vileeee.....maana sio kwa viewers hao.
B brazaj JF-Expert Member Joined Jul 26, 2016 Posts 31,698 Reaction score 41,733 Mar 18, 2022 Thread starter #4 rich1 said: Chadema kama WCB vileeee.....maana sio kwa viewers hao. Click to expand... Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. Hiyo ndiyo habari yenyewe.
rich1 said: Chadema kama WCB vileeee.....maana sio kwa viewers hao. Click to expand... Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. Hiyo ndiyo habari yenyewe.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Mar 19, 2022 #5 Ngoja tuone...
C chotera JF-Expert Member Joined May 19, 2016 Posts 6,560 Reaction score 15,864 Mar 19, 2022 #7 Muwe serious basi unadhani kuna mtu makini afuatilie habari za ccm ilihali kuna habari ya chadema? Hata zitto toka atoke chadema hajawahi kua na mvuto tena maana chadema ni kama imani ndio maana magufuli alijidanganya kuiua akashindwa
Muwe serious basi unadhani kuna mtu makini afuatilie habari za ccm ilihali kuna habari ya chadema? Hata zitto toka atoke chadema hajawahi kua na mvuto tena maana chadema ni kama imani ndio maana magufuli alijidanganya kuiua akashindwa
K kina kirefu JF-Expert Member Joined Dec 14, 2018 Posts 15,188 Reaction score 18,583 Mar 19, 2022 #8 Amani nikichaka Cha ccm kudhibitia upinzani kwamba wanavuruga amani akati amani yenyewe hakuna hakuna kwani amani inaviwango vyake
Amani nikichaka Cha ccm kudhibitia upinzani kwamba wanavuruga amani akati amani yenyewe hakuna hakuna kwani amani inaviwango vyake