Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana
Kama kichwa cha habar kinavyojieleza hapo juu
Ilikuwa ni siku ya mnada jumamos huko sima sengelema mwanza tanzania
Mchezo ulianza kama utan lakin ilikuwa ni noma sana aisee
Wachawi walikoromeana nan mkali kati ya mwenzake
Mmoja alikuwa akiitwa tondogoso na mwingine alikuwa anaitwa idako lako.
Ebhana ee twende pamoja mazee
Idako lako ndo alianza vag baad ya kujigeuza kichuguu lakin kwa ushenz wa tondogoso yeye aligeuza kile kichuguu na kuwa mto, hivo idako lako alipigwa bao hatar sana
Mchezo ukaendelea baada ya tondogoso kusimamisha jua lakin kwa ushenz wa idako lako yeye mda huo alileta mvua na kuanza kunyesha upande mmoja wa mnada wakati upande mwingine ikiwa hainyeshi
Watu walipiga mayowe ile hatar wakisema idako idako lakin tondogoso aliamua kuleta giza na pakawa usiku
Ilikuwa ni noma sana
Ngoja niishie hapa kwa leo kesho nitakuja kumalizia
LONDON BABY