Hellow!
Kama una ndugu Yako anaenda Kwa Waganga usicheke naye, aweza kukutegea mtego na kukumaliza,
Imeandikwa ,adui wa mtu ni yule wa nyumbani mwake, yule aliye karibu, mke, mume,shangaji nk nk,
Ndugu ZANGU ni akina nani? Aliuliza swali hili Yesu, na akajibu, ndugu ZANGU ni Hawa wasikiao na kutii neno la Mungu.
Hii ikupe kujua kuwa, ndugu Yako wa Damu usiyemdhania, ndiye anaweza kuwa chanzo Cha tatizo lako, hakikisha unawaombea ndugu zako wote waokoke Ili wawe ndugu katika Kristo Ili mwovu asijewatumia kukudhuru.
Twende kwenye mada....
Mtu mmoja alilala usiku akiwa mzima kabisa, akiwa usingizini amelala, adui akapanda mbegu ya uovu, ndio maana usichukulie masihara ugonjwa ambao haukuwepo ulipolala, lakini ulipoamka unaamka unaumwa, jua huko usingizini ndiko ulikopigiwa,
Kijana anaamka, kufumbua macho anashangaa mguu hautulii,mguu unastuka,unapiga kiki kama vile farasi au punda, muda wote mguu hautawaliki, hakuweza kuu control,
Imagine mguu unajirusha mateke wenyewe, hujui A Wala Z, ulilala salama ,unaamka asubuhi, unajikuta katika Hali kama Ile.
Kuona vile, ndugu wakatafuta Cha kufanya kumsaidia ndugu Yao wasiweze, ilipofika jioni ya siku la tukio, wakawaza atalala vipi usiku Kwa mateke Yale,
Walipshauriana Kwa muda Fulani, wakakubaliana kufunga mguu Ule hatari kamba ndefu na kuiunga na mbao ya Dirisha ,maana ilikuwa kijijini.
Sasa imagine mtumishi wa Mungu umeitwa kwenda kumsaidia mtu, unakuta mguu umefungwa dirishani Ili kuzuia mguu usilete tafrani, nikwambie unaweza kujikuta unacheka, shetani anatesa sana WANADAMU Kila Giza linapoingia.
Ndio maana ikaandikwa, usimwache mwanamke mchawi kuishi. Kauli hii haimaanishi kuua kimwili hapana, wachawi wanauwawa katika Roho Kwa maombi.
Ikiwa ni mhanga wa wachawi ulalapo usiku, na ungependa Hali hii ifike mwisho, fuatisha Sala hii.
EE MUNGU KATIKA JINA LA YESU KRISTO, NINAKUKIRI WEWE KUWA BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YANGU, NINATUBU DHAMBI ZANGU ZOTE, NINAOMBA UNISAMEHE, ULIFUTE JINA LANGU KATIKA KITABU CHA HUKUMU, ULIANDIKE JINA LANGU KATIKA KITABU CHA UZIMA, NIPE UWEZO WA KUISHI MAISHA MATAKATIFU, DHAMBI ISINISHINDE, UOVU USINISHINDE, ULEVI USINISHINDE, WACHAWI WASINISHINDE, NINAOMBA HAYO KUPITIA JINA LA YESU KRISTO ALIYE BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YANGU.AMEN