Wachekeshaji wakali Tanzania kwa sasa

Kuna wajinga wajinga tu hapo wala hakuna comedian.
 
Lugwenya a.k.a erasto the ninja,
Huyu jamaa noumer sana
 
Kuna wajinga wajinga tu hapo wala hakuna comedian.
Upo sawa. Why?? Kwa sababu komedi ni maisha halisi, tunayoishi kila siku ila yamewekwa ki ujinga ujinga ili kuchekesha na kuelimisha kwa wakati mmoja.
Angalia comedians wowote - Pitia filamu za Mr. Bean/ Charlie Chaplin/ Groucho Marx, utagundua wote wanafanya ujinga ujinga tu ndio maana tunacheka na kwa wakati huo huo wanaelimisha.!
 
Ringo
Tin white
Oka na Carpoza
Joti
Mpoki
Katarina wa Karatu
Brother K,alaf kuna machalii wa AR kina Chuga na Mzee ubaya.
R chuga hawa jamaa kwenye comedy dance wanapoteza mbayaaa
 
Hao carpoza ni hatari mzee [emoji38][emoji38][emoji28][emoji28][emoji28]

Wana mambo za ajabu sana
 
Yaani niache kuwaangalia machalii wa Churchill nikaangalie ujinga ujinga wakina Idrissa.
 
Yaani niache kuwaangalia machalii wa Churchill nikaangalie ujinga ujinga wakina Idrissa.
Just so you know, hata hio Churchill ni ujinga. The difference is the same... Sema uwasilishaji wa content [Ujinga sasa] ndio unazidiana mtu na mtu ila kitu ni kilele.

Anyways who am i to tell people what they should or shouldn't watch. Whatever floats your boat comrade!
 
Kuna yule Tino na mwenzake sijui nani yule...

Cc: mahondaw
hata mimi nawapenda sana hawa jamaa. Yupo Tino white, kipupwe, mau, na yule jamaa anamwili mkubwa. Nawapenda Sana na wananichekesha Sana. Mungu awabariki wafike mbali katika utafutaji wao na wasikate tamaa, Kuna watu tunawapenda Sana.
 
lingo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…