Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Brother K
Joti
Mpoki..
Upo sawa. Why?? Kwa sababu komedi ni maisha halisi, tunayoishi kila siku ila yamewekwa ki ujinga ujinga ili kuchekesha na kuelimisha kwa wakati mmoja.Kuna wajinga wajinga tu hapo wala hakuna comedian.
Lafudhi yake inaniuwaga. A top-notch creativity!Lugwenya a.k.a erasto the ninja,
Huyu jamaa noumer sana
Brother k ndo naniBrother K
Joti
Mpoki..
R chuga hawa jamaa kwenye comedy dance wanapoteza mbayaaaRingo
Tin white
Oka na Carpoza
Joti
Mpoki
Katarina wa Karatu
Brother K,alaf kuna machalii wa AR kina Chuga na Mzee ubaya.
Hakuna kama JOTI, wengine wanambwela mbwela tuThe one and only J.O.T.I
kwani hao umewatoa wap.....kila mtu na mitazamo yake mzee1) idris sultan
2)jay mond
3) mr Beneficial
4)mkali wenu
5)Tin white
6)dullavan
7)Bwana mjeshi
Hao ndio top comedian tz hao wako umewatoa wapi?
Yaani niache kuwaangalia machalii wa Churchill nikaangalie ujinga ujinga wakina Idrissa.Upo sawa. Why?? Kwa sababu komedi ni maisha halisi, tunayoishi kila siku ila yamewekwa ki ujinga ujinga ili kuchekesha na kuelimisha kwa wakati mmoja.
Angalia comedians wowote - Pitia filamu za Mr. Bean/ Charlie Chaplin/ Groucho Marx, utagundua wote wanafanya ujinga ujinga tu ndio maana tunacheka na kwa wakati huo huo wanaelimisha.!
Kuna jamaa wanajiita Bongo stand up comedy nao wanajitahidi kibongobongo wataibadilisha gameYaani niache kuwaangalia machalii wa Churchill nikaangalie ujinga ujinga wakina Idrissa.
Just so you know, hata hio Churchill ni ujinga. The difference is the same... Sema uwasilishaji wa content [Ujinga sasa] ndio unazidiana mtu na mtu ila kitu ni kilele.Yaani niache kuwaangalia machalii wa Churchill nikaangalie ujinga ujinga wakina Idrissa.
Hamna mchekeshaji hapo, sorry1) idris sultan
2)jay mond
3) mr Beneficial
4)mkali wenu
5)Tin white
6)dullavan
7)Bwana mjeshi
Hao ndio top comedian tz hao wako umewatoa wapi?
hata mimi nawapenda sana hawa jamaa. Yupo Tino white, kipupwe, mau, na yule jamaa anamwili mkubwa. Nawapenda Sana na wananichekesha Sana. Mungu awabariki wafike mbali katika utafutaji wao na wasikate tamaa, Kuna watu tunawapenda Sana.
lingohata mimi nawapenda sana hawa jamaa. Yupo Tino white, kipupwe, mau, na yule jamaa anamwili mkubwa. Nawapenda Sana na wananichekesha Sana. Mungu awabariki wafike mbali katika utafutaji wao na wasikate tamaa, Kuna watu tunawapenda Sana.