Wachekeshaji wakali Tanzania kwa sasa

Mpoki ndo he is the best kabisa,hao uliowataja hamna kitu
 
Mi mizengwe ndio nawakubali basi..jamaa wana act natural sana ila unacheka balaa
Wabunifu sana wale jamaa..miaka nenda rudi hawachuji, wanachukuliwa poa sana
 
Mi mizengwe ndio nawakubali basi..jamaa wana act natural sana ila unacheka balaa
Wabunifu sana wale jamaa..miaka nenda rudi hawachuji, wanachukuliwa poa sana
Wale sijui kama kuna mtu hawakubali, hasa yule Sumaku huwa akiongea lazima ucheke.

Labda wanachukuliwa poa kwasababu kipindi chao ni muda mfupi sana,ukinywa maji hayaishi kipindi kimeshamalizika.

Lakini pia pengine umaarufu wao unapungua kwasababu watoto wa kipindi hiki hawatazami saana TV ndio maana hata hapa unaona huyu bwana niliyemnukuu anakutajia wachekeshaji wa Instagram wanaounganisha video na kufanya vituko kuwa ndio wachekeshaji bora.
 
Ujinga wa churchill unachekesha sana lkn ujinga wa kina Idrissa sijui mcpilipili ni ujinga wa 1st class(wanajichekeshaga wenyewe).
 
Ujinga wa churchill unachekesha sana lkn ujinga wa kina Idrissa sijui mcpilipili ni ujinga wa 1st class(wanajichekeshaga wenyewe).
That is according to you. It's not a worldwide point of view, you are right too.
 
1.Joti
2. Oka Martin & Carpoza
3.Beneficial & Bwanamjeshi
4.Sumaku na Mizengwe kwa ujumla
5.Jaymond
6.Brother K
7.Mpoki
9.Mkude Simba & Bwakila
10.Tin White & Ringo & Kipupwe
Bonus : Piere liquid akilewa na asijue kama anarekodiwa hapo ndo utajua yule jamaa Ni Mavi kabisa 🤣🤣🤣

N.B : King Majuto (R.I.P) amewazidi wote hao yani yeye yupo kwenye Level yake peke yake pale kileleni kama Kanumba vile hakuna Bongo Movie star yeyote atakayemfikia
 
Joti
Maufundi
Kitale
Tin white
Ringo
 
Mnazungumzia wachekeshaji wa Instagram wanafanya short clips. Hakuna wachekeshaji pale. Tutaje hapo wanaoweza wakafanya one man stand off comedy, ni Mpoki tu kwa sasa. Na kwenye screen/TV ni Joti. Hao wachekeshaji wa Instagram bado sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…