Wachekeshaji wakali Tanzania kwa sasa

Wachekeshaji wakali Tanzania kwa sasa

Mpoki ndo he is the best kabisa,hao uliowataja hamna kitu
 
Mkuu,hapo comedian ni huyo niliyemtofautisha na wenzake tu wengine wote wanaunganisha video wakifanya vitimbi tu.

Pengine kila mtu ana aina yake ya kuchekeshwa,wengine wanachekeshwa na mtu kutumbua macho sana au kujipaka majivu usoni au mkaa.

Ila katika list yako hiyo ukimtoa Tin, waliobaki hakuna wachekeshaji hapo, kuna wafanya vituko.
Mi mizengwe ndio nawakubali basi..jamaa wana act natural sana ila unacheka balaa
Wabunifu sana wale jamaa..miaka nenda rudi hawachuji, wanachukuliwa poa sana
 
Mi mizengwe ndio nawakubali basi..jamaa wana act natural sana ila unacheka balaa
Wabunifu sana wale jamaa..miaka nenda rudi hawachuji, wanachukuliwa poa sana
Wale sijui kama kuna mtu hawakubali, hasa yule Sumaku huwa akiongea lazima ucheke.

Labda wanachukuliwa poa kwasababu kipindi chao ni muda mfupi sana,ukinywa maji hayaishi kipindi kimeshamalizika.

Lakini pia pengine umaarufu wao unapungua kwasababu watoto wa kipindi hiki hawatazami saana TV ndio maana hata hapa unaona huyu bwana niliyemnukuu anakutajia wachekeshaji wa Instagram wanaounganisha video na kufanya vituko kuwa ndio wachekeshaji bora.
 
Ujinga wa churchill unachekesha sana lkn ujinga wa kina Idrissa sijui mcpilipili ni ujinga wa 1st class(wanajichekeshaga wenyewe).
Just so you know, hata hio Churchill ni ujinga. The difference is the same... Sema uwasilishaji wa content [Ujinga sasa] ndio unazidiana mtu na mtu ila kitu ni kilele.

Anyways who am i to tell people what they should or shouldn't watch. Whatever floats your boat comrade!
 
Ujinga wa churchill unachekesha sana lkn ujinga wa kina Idrissa sijui mcpilipili ni ujinga wa 1st class(wanajichekeshaga wenyewe).
That is according to you. It's not a worldwide point of view, you are right too.
 
1.Joti
2. Oka Martin & Carpoza
3.Beneficial & Bwanamjeshi
4.Sumaku na Mizengwe kwa ujumla
5.Jaymond
6.Brother K
7.Mpoki
9.Mkude Simba & Bwakila
10.Tin White & Ringo & Kipupwe
Bonus : Piere liquid akilewa na asijue kama anarekodiwa hapo ndo utajua yule jamaa Ni Mavi kabisa 🤣🤣🤣

N.B : King Majuto (R.I.P) amewazidi wote hao yani yeye yupo kwenye Level yake peke yake pale kileleni kama Kanumba vile hakuna Bongo Movie star yeyote atakayemfikia
 
Mnazungumzia wachekeshaji wa Instagram wanafanya short clips. Hakuna wachekeshaji pale. Tutaje hapo wanaoweza wakafanya one man stand off comedy, ni Mpoki tu kwa sasa. Na kwenye screen/TV ni Joti. Hao wachekeshaji wa Instagram bado sana
 
Back
Top Bottom