Wacheni Siasa za Majungu- Ngorongoro crater ndio bustani ya Aden

Wamasai ni wavamizi katika maeneo ya Eneo la crater.

Msiwatumie kisiasa ,asili yao ni Ethiopia kama walivyo waTz wengine wana asili ya uhindini na wengine uarabuni na walio wengi ni kutoka misitu ya Congo ,hii Tanganyika ilikuwa pori tupu ,msikae na kuwadanganya wasiojua historia ya nchi hii na uwepo wake.

Na zama hizo Simba na wanyama wengine walijaa na wakipatikana mpaka kwenye fukwe za bahari .
true
P
 
Kunapaswa kufanyika Mgomo wa Operators wote wa sekta ya Utalii wa maeneo ya Serengeti na Amboseli, mgomo wa kutowafikisha Watalii maeneo hayo. Aidha, wapigwe mayai viza.

sasa weye Nkaburu uweke dislike yako nikuvalie njuga. Mfyuuuuuuuuuu
 
Ignore mbusi hiyo.
 
Lisu hajifunzi wala hana shukurani.Anapenda kutia mguu watu walipotulia.Inakera sana.Ukiwa kiongozi usie na ustahamilivu mara unamp....rs
Ujinga wa watanzania ndipo uko hapa ashukuriwe nani na kwa lipi?tumieni akili msiwe emotional
 
Huku hakuna nyombo vya kuosha, kuku ukimfunga kamba hata ukimwachia baadae atabaki hapo hapo, aende akapigie kelele huko.
 
Wamasai ni wavamizi katika maeneo ya Eneo la crater.

Msiwatumie kisiasa ,asili yao ni Ethiopia kama walivyo waTz wengine wana asili ya uhindini na wengine uarabuni na walio wengi ni kutoka misitu ya Congo ,hii Tanganyika ilikuwa pori tupu ,msikae na kuwadanganya wasiojua historia ya nchi hii na uwepo wake.

Na zama hizo Simba na wanyama wengine walijaa na wakipatikana mpaka kwenye fukwe za bahari .

Punguza hasira kali…,
 
Lisu hajifunzi wala hana shukurani.Anapenda kutia mguu watu walipotulia.Inakera sana.Ukiwa kiongozi usie na ustahamilivu mara unamp....rs

Punguza jazba uitunze afya ya akili.
Wivu na Hasira zinaua.
 
Wewe nyang'au kwa hiyo unataka kusemaje?
Unamshauri hilo jambazi la kike litoe bure kwa mabwana zake siyo? Akipewa iliyopakwa mdalasini anachanganyikiwa sasa anataka kuuza hadi figo zetu!
Kitu gani hiyo iliyopakwa mdalasini?
 
Wamasai ni wavamizi katika maeneo ya Eneo la crater.

Msiwatumie kisiasa ,asili yao ni Ethiopia kama walivyo waTz wengine wana asili ya uhindini na wengine uarabuni na walio wengi ni kutoka misitu ya Congo ,hii Tanganyika ilikuwa pori tupu ,msikae na kuwadanganya wasiojua historia ya nchi hii na uwepo wake.

Na zama hizo Simba na wanyama wengine walijaa na wakipatikana mpaka kwenye fukwe za bahari .
Uzuri nchi hii wenye akili tupo wachache sana. Hongera mleta mada kwa kujaaliwa akili za kuona na kufikiri vizuri.

Nafurahi kuona unaanza kuelewa siasa za hovyo zinavyorudisha nyuma maendeleo ya nchi yetu
 
Wamasai ni wavamizi katika maeneo ya Eneo la crater.

Msiwatumie kisiasa ,asili yao ni Ethiopia kama walivyo waTz wengine wana asili ya uhindini na wengine uarabuni na walio wengi ni kutoka misitu ya Congo ,hii Tanganyika ilikuwa pori tupu ,msikae na kuwadanganya wasiojua historia ya nchi hii na uwepo wake.

Na zama hizo Simba na wanyama wengine walijaa na wakipatikana mpaka kwenye fukwe za bahari .
Wee dogo wa mbogamboga mbona hujaweka facts huo uvamiz walianza lini? Pia na makaz yao ni ya muda gan hapo ngorongoro? Waarabu washawaharib akili!!
 
Back
Top Bottom