Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
trueWamasai ni wavamizi katika maeneo ya Eneo la crater.
Msiwatumie kisiasa ,asili yao ni Ethiopia kama walivyo waTz wengine wana asili ya uhindini na wengine uarabuni na walio wengi ni kutoka misitu ya Congo ,hii Tanganyika ilikuwa pori tupu ,msikae na kuwadanganya wasiojua historia ya nchi hii na uwepo wake.
Na zama hizo Simba na wanyama wengine walijaa na wakipatikana mpaka kwenye fukwe za bahari .
true
P
Ndiyo ugawe dislikes kama rushwa za CCM?Uzi huu Ufutwe kwani Umejaa MisInformation na DisInformation. Moderator
Yaniii mpaka asemeeWewe Member ni Kilaza kweli nduguvyangu, Ko ulikua unataka kusemaje labda? Maana bado hujasema na utasema[emoji3166]
Mjinga hii.true
P
Unisamehe tu.Ndiyo ugawe dislikes kama rushwa za CCM?
Ignore mbusi hiyo.Kunapaswa kufanyika Mgomo wa Operators wote wa sekta ya Utalii wa maeneo ya Serengeti na Amboseli, mgomo wa kutowafikisha Watalii maeneo hayo. Aidha, wapigwe mayai viza.
sasa weye Nkaburu uweke dislike yako nikuvalie njuga. Mfyuuuuuuuuuu
Hahahahahaha[emoji23]Lisu hajifunzi wala hana shukurani.Anapenda kutia mguu watu walipotulia.Inakera sana.Ukiwa kiongozi usie na ustahamilivu mara unamp....rs
Ujinga wa watanzania ndipo uko hapa ashukuriwe nani na kwa lipi?tumieni akili msiwe emotionalLisu hajifunzi wala hana shukurani.Anapenda kutia mguu watu walipotulia.Inakera sana.Ukiwa kiongozi usie na ustahamilivu mara unamp....rs
Wamasai ni wavamizi katika maeneo ya Eneo la crater.
Msiwatumie kisiasa ,asili yao ni Ethiopia kama walivyo waTz wengine wana asili ya uhindini na wengine uarabuni na walio wengi ni kutoka misitu ya Congo ,hii Tanganyika ilikuwa pori tupu ,msikae na kuwadanganya wasiojua historia ya nchi hii na uwepo wake.
Na zama hizo Simba na wanyama wengine walijaa na wakipatikana mpaka kwenye fukwe za bahari .
Lisu hajifunzi wala hana shukurani.Anapenda kutia mguu watu walipotulia.Inakera sana.Ukiwa kiongozi usie na ustahamilivu mara unamp....rs
Kitu gani hiyo iliyopakwa mdalasini?Wewe nyang'au kwa hiyo unataka kusemaje?
Unamshauri hilo jambazi la kike litoe bure kwa mabwana zake siyo? Akipewa iliyopakwa mdalasini anachanganyikiwa sasa anataka kuuza hadi figo zetu!
Uzuri nchi hii wenye akili tupo wachache sana. Hongera mleta mada kwa kujaaliwa akili za kuona na kufikiri vizuri.Wamasai ni wavamizi katika maeneo ya Eneo la crater.
Msiwatumie kisiasa ,asili yao ni Ethiopia kama walivyo waTz wengine wana asili ya uhindini na wengine uarabuni na walio wengi ni kutoka misitu ya Congo ,hii Tanganyika ilikuwa pori tupu ,msikae na kuwadanganya wasiojua historia ya nchi hii na uwepo wake.
Na zama hizo Simba na wanyama wengine walijaa na wakipatikana mpaka kwenye fukwe za bahari .
Wee dogo wa mbogamboga mbona hujaweka facts huo uvamiz walianza lini? Pia na makaz yao ni ya muda gan hapo ngorongoro? Waarabu washawaharib akili!!Wamasai ni wavamizi katika maeneo ya Eneo la crater.