Wachepukaji wengi wana tabia hizi

Wachepukaji wengi wana tabia hizi

Kuwa na shamba la miwa karibu na shule ya msingi[emoji23][emoji23]. Tumebaki marafiki sababu ya binti yetu tunasaidiana kulea hiyo kupasha kiporo nisiongelee sana nisiisemee kesho.
[emoji7][emoji7][emoji7] mtoto ni.kigezo kizuri sana kutafunia kiporo
[emoji1321][emoji1321][emoji1321][emoji1321][emoji1321][emoji1321][emoji1321][emoji1321]
 
Huyo jamaa ni Mimi kabisa.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Huyu mshenzi bado yuko jela kwa kosa hilo.
20yrs
Bado anatumikia kifungo, akirudi mke keshazalishwa na mchepuko ushaolewa, Mb.ooo huharibu kabisa uwezo wakufikiri hasa ikitembelewa na rafiki yake nye'GE
 
Back
Top Bottom