Wacheza kamari hivi mnajua Yanga kapewa odds ndogo dhidi ya Mamelodi, kuna ishara gani hapa?

Wacheza kamari hivi mnajua Yanga kapewa odds ndogo dhidi ya Mamelodi, kuna ishara gani hapa?

wadau kama kichwa cha habari kinavyojieleza YANGA 2.45 vs 2.90 MAMELOD hapa kuna ishara gani?ila wale ijumaa kuu fc wamepewa 2.75 Vs 2.40 Taifa la Ahly .

Wacha inyeshe.
Mhindi siyo kichaa,uchambuzi wa kina umefanyika akaona Simba ni ngumu kutoboa Kwa mwarabu,hii ni kweli Simba anakufa Leo na wengi hatoamini macho Yao.
 
Back
Top Bottom