Wacheza kamari hivi mnajua Yanga kapewa odds ndogo dhidi ya Mamelodi, kuna ishara gani hapa?

Mkuu punguza kutukana huku kwenye Futbal waachie wanasiasa kule tubishane mpira kiistarabu tu inapendeza zaidi..
Acha ...... wanataka kutujambisha... kama hilo ni tusi acha wanipige ban kina Melo
mimi sipendi mpuuzi anaeleta ushuzi.....mimi ni mpuuzi sana kwa wajinga
 
Sio swala Ban ras si unajua sisi marasta tupo kwenye Amani sana mazee nimeona ras kapita leo umechafukwa ndio nikakukumbusha potezea hizi mambo hazina afya...tujadili Mpira tu
 
Wadau kama kichwa cha habari kinavyojieleza YANGA 2.45 vs 2.90 MAMELODI hapa kuna ishara gani? Ila wale Ijumaa kuu fc wamepewa 2.75 Vs 2.40 Taifa la Ahly .

Wacha inyeshe.
Moja kwenye haya mashindano timu nyingi ugenini huwa sinachezea draw...

Mbili sababu ya hizi betting companies kuitwa Bookmakers ni kwamba traditionally walikuwa wanabalance bets za upande mmoja na mwingine ili wanaoshindwa wawalipe walioshinda na wenyewe wabakie na margin kama faida..., Hivyo kwa Yanga watu wengi nchini mwao watachagua yanga (Home Team) kuliko Away team.., hivyo katika balancing act ni busara kupunguza odds ambazo wagers ni nyingi
 
sawa
 
watu wengi hawazifuatilii hizi odds,muhindi anajua sana

mi nikitaka kubet kwa mechi ya kesho nampa mamelodi double chance,naweka laki
acha ujinga utatupa pesa
mimi shabiki simba ila hiyo nimeichungulia ni yanga au droo. simba my team siwezi kuichungulia na sitaki.
 
Back
Top Bottom