ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,152
- 33,899
Acha ...... wanataka kutujambisha... kama hilo ni tusi acha wanipige ban kina MeloMkuu punguza kutukana huku kwenye Futbal waachie wanasiasa kule tubishane mpira kiistarabu tu inapendeza zaidi..
Sio swala Ban ras si unajua sisi marasta tupo kwenye Amani sana mazee nimeona ras kapita leo umechafukwa ndio nikakukumbusha potezea hizi mambo hazina afya...tujadili Mpira tuAcha ...... wanataka kutujambisha... kama hilo ni tusi acha wanipige ban kina Melo
mimi sipendi mpuuzi anaeleta ushuzi.....mimi ni mpuuzi sana kwa wajinga
Wewe ni mpumbavu siyo mpuuzi.Acha ...... wanataka kutujambisha... kama hilo ni tusi acha wanipige ban kina Melo
mimi sipendi mpuuzi anaeleta ushuzi.....mimi ni mpuuzi sana kwa wajinga
Wamekupiga ,..... backdafackupWewe ni mpumbavu siyo mpuuzi.
Moja kwenye haya mashindano timu nyingi ugenini huwa sinachezea draw...Wadau kama kichwa cha habari kinavyojieleza YANGA 2.45 vs 2.90 MAMELODI hapa kuna ishara gani? Ila wale Ijumaa kuu fc wamepewa 2.75 Vs 2.40 Taifa la Ahly .
Wacha inyeshe.
sawaMoja kwenye haya mashindano timu nyingi ugenini huwa sinachezea draw...
Mbili sababu ya hizi betting companies kuitwa Bookmakers ni kwamba traditionally walikuwa wanabalance bets za upande mmoja na mwingine ili wanaoshindwa wawalipe walioshinda na wenyewe wabakie na margin kama faida..., Hivyo kwa Yanga watu wengi nchini mwao watachagua yanga (Home Team) kuliko Away team.., hivyo katika balancing act ni busara kupunguza odds ambazo wagers ni nyingi
😂😁MAMELOD 9 KABWILI 0
Habib Habib thalanta bin thiful
acha ujinga utatupa pesawatu wengi hawazifuatilii hizi odds,muhindi anajua sana
mi nikitaka kubet kwa mechi ya kesho nampa mamelodi double chance,naweka laki
🤣🤣 hivi kumbe kuna odds maalumu za kutoboa? Nipe mkuuIfuatilie hyo odd aliyopewa Yanga,haitoboagi,ni anapigwa au akijitahidi adroo
si umeona simba ameshatoboka,ndio odd hyo hyo kama ya yanga🤣🤣 hivi kumbe kuna odds maalumu za kutoboa? Nipe mkuu
simba kashapakatwa huko kwa odd hyo hyoacha ujinga utatupa pesa
mimi shabiki simba ila hiyo nimeichungulia ni yanga au droo. simba my team siwezi kuichungulia na sitaki.
YametimiaMhindi siyo kichaa,uchambuzi wa kina umefanyika akaona Simba ni ngumu kutoboa Kwa mwarabu,hii ni kweli Simba anakufa Leo na wengi hatoamini macho Yao.
Mhindi siyo kichaa,uchambuzi wa kina umefanyika akaona Simba ni ngumu kutoboa Kwa mwarabu,hii ni kweli Simba anakufa Leo na wengi hatoamini macho Yao.
Odd ya Simba mbona ni tofauti kabisa na Yanga? Hizo odds umeziangalia vizuri kweli?si umeona simba ameshatoboka,ndio odd hyo hyo kama ya yanga
Na kweli kafa Odds zinaongea na leo zamu ya kufa Sun Downs pale LupasoMhindi siyo kichaa,uchambuzi wa kina umefanyika akaona Simba ni ngumu kutoboa Kwa mwarabu,hii ni kweli Simba anakufa Leo na wengi hatoamini macho Yao.
Saa 3 na Nusu utakua umeshashawishika baada ya Goli 2 kuzamia kimiyani kwa mkupuomwenendo wa hiyo odds haunishawishi kumuwekea Yanga mkuu
kwenye kampuni nayobetia mm zinafanana,na naamini hata huko hazitapishasa sanaOdd ya Simba mbona ni tofauti kabisa na Yanga? Hizo odds umeziangalia vizuri kweli?