Wacheza mpira wa miguu wenye majina ya ajabu

Wacheza mpira wa miguu wenye majina ya ajabu

(1)JOHAN DE COCK-NETHERLAND

(2)MARK DE MAN-ANDERLECHT F.C

(3)BONGO CHRIST-D.R.C

(4)DANNY DRINKWATER-LEICESTER CITY,ENGLAND

(5)ABUBAKAR MNYAMBEGU-ALICHEZEA YANGA F.C

(6)KIPANYA MALAPA-SINGIDA UNITED......tuendelee!
DICK-ARSENALI.
 
Mbo Mpenza- Belgium na club alizochezea kama Galatassaray, Sporting Lisbon, Anderlecht miaka ya mwanzoni ya 2001 nakumbuka wakati wa kombe la dunia la Japan na Korea kuna gazeti moja la kibongo lilitoa stori yake pamoja na picha akiwa mazoezini katika mji wa kumamoto japan na kichwa cha habari MBO NDANI YA KUMAMOTO, matokeo yake ikaanzisha mjadala mkubwa sana
Hahahahahah
 
Kipa
Yanga Mbiwa
Bongani Kumalo
Dado Prso
Sczseney kipa wa Arsenal
Ally Mayay Tembele
Sunshuke Nakamura
Boro Zenden
Abu Bakari Titi Camara
Kipa wa arsenal nimeshindwa kusoma jina lake, na huyo zenden jina la kwanza ndio hilo kweli?
 
Back
Top Bottom