ndio wakaze sasa ili wawepo ktk hao watatu....sio kulia lia nyumbani wanaokaa majumbani ni wanawake na hta hao wanawake siku hizi ni nadra sana kukaa nyumbani .....wanaume kazikazi ukae nyumbani uoleweUnadhani watanzania wangapi watapata namba Nigeria, Ghana, Senegal, cameroon, Rwanda, Uganda, NK? Unachoongea hukijui. Rwanda imeruhusu wageni 3 Tu kwenye klabu
mimi ningekuwa TFF ningeruhusu hata timu ikitaka kusajili timu nzima wa nje wasajili tu hakuna mambo ya kuleana leana hapa watu wanabebwa hawabebeki mtu unamkuta mchezaji mkubwa yupo mitaani kunywa konyagi na kuvuta mibange pamabvNaunga mkono nyongeza ili hawa madogo wa bongo wasiojituma watie akili. Kula benchi msimu mzima. Watu kama Ndemla,Mzamiru wanarukaruka tu uwanjani kwa nini kina Kahata wasipige pesa
Kipaji kidogo unalewa siiifa,wapi Ajibu, Mesi mk,wanafimba kichwa na kuvuta bangi badala ya kukaza. Ningekuwa TFF ningeweka 15,na 11 wanaweza kuingia uwanjani
Wanaweza kupiga misumari tu. Na nyie kina Kagere, Wawa muage kwenu huku kuna wazee wa miba muulizeni Serunkuma na Mavugo
kwani burnley,huddersfield,brighton,norwich wana uwezo sawa wa kusajili wachezaji na timu kama man u,arsenal,city,chelsea n.k au hiyo sheria ya kusajili wachezaji wengi wa kigeni iliwekwa kwa ajili ya timu za big 6 kule uingereza?au leicester city walivyochukua ubingwa walikuwa na kina ronaldo na messi?Mpira wa miguu ni ajira mbali ya kuleta furaha na sifa kwa vilabu, mashabiki na taifa. Ligi kuu ina timu 16 na kama timu itaweza kusajili wachezi 10 wa kigeni maana yake wageni 160 watashiriki ligi kuu nchini. Kama kocha akiamua kuwapanga wachezaji wote 10 uwanjani, maana yake mzawa mmoja tu ndiye atakaepata nafasi ya kucheza kwenye mechi hiyo. Tunaelekea wapi? au ni njia ya kuzibeba timu kubwa zenye wafadhili wenye hela?
huwezi kufananisha Morogoro na Dar es Salaam. Tanzania hakuna wachezaji bali kuna vijana wasiojulikana wanaopenda kucheza mpira. Haijulikani walianza vipi na lini kucheza mpira lakini tunataka watuletee mafanikio, hii haiwezekani na haitawezekana kama tutaendelea kuokoteza vijana mitaani. Hatutaweza kuwashindanisha vijana wetu na wachezaji wa nje ambao wamekuzwa kwenye vitaru vya kuchezea mpira tangu utotoni. TFF imechemsha hapo, badala ya kusimamia uanzishwaji wa vitalu vya kukuzia vipaji vya mpira wao wanataka ku import vipaji kutoka kwenye nchi zilizowekeza kwenye mpira. Huku ni sawa na kuzipatia ajira nchi ncho kwa vijana wao.Kwa miaka mingi wachezaji wa ndani wameshindwa kutoa matokeo mazuri kwenye mashindano ya Kimataifa, malengo ya mpira lazima yabadilike kwa kipindi fulani ili kuingiza falsafa mpya ya mpira wa miguu.
Ni lazima sasa kukaribisha ushindani, hapa tunajaribu kufungia milango ili akina Chirwa wengi waje kucheza hapa na sisi tuwatoe akina Chilunda wengi wakacheze nje.
Wenyewe kwa wenyewe tumekabana mda mrefu sana hadi tunajuana uwanjani. Kila beki anajua jinsi ya kumkaba John Bocco kwakua tumecheza naye kipindi kirefu na kuzoeana kwa kiasi kikubwa.
Imefika wakati wa kuondokana na mpira wa mazoea.
Sheria imeruhusu kusajiri wachezaji kumi wa kigeni na hailazimishi kufanya hivyo kwa timu husika.
Mtibwa Sugar inafanya vizuri katika medani ya soka na haina mchezaji hata mmoja wa kigeni (kama ninavyofahamu) na ni bingwa wa FA Cup na inatuwakilisha kimataifa.
Simba yenye wachezaji wengi wa kingeni tunaiona ikimaliza msimu na kombe moja tu la VPL, na ilifungwa na timu ya daraja la kwanza kwenye mashindano ya FA ambayo haikuwa na hata mchezaji mmoja wa kigeni kwenye timu yao.
Kama falsafa ya wachezaji kumi wa kigeni itaonekana kuwa na madhara basi wadau wa michezo wanaweza wakaifanyia marekebisho ya kuifuta kabisa au kupunguza hiyo idadi.
Kwa sasa wacha tuende na haya mabadiliko tuone manufaa yake katika soka letu.
Akili yako ilivyo ndogo unadhani timu makini huko nje zitachukua mchezaji wetu tu hovyohovyo. Tff inachotakiwa hapa ni kuhamasisha uanzishwaji mkubwa wa vituo vya kulelea vipaji hapa nchini. Ikiwezekana kila timu iliyoko ligi kuu na wadau wengine wawe za vitalu hivyo badala ya kuwa na wachezaji wanaotumia ujanjaujanja, bangi katika mpira. Hapo ndio utaweza kupata vijana wengi wanaoweza kuuzika nchi za nje sio eti kwa kuleta wachezaji 10 wa kigeni kwenye timu. Bora hata yule anaesema tuwape uraia wa tanzania wachezaji wa kigeni wenye vipaji na hadhi ya kuchezea timu ya taifa kuliko utumbo wako unaoupigia debe kwa niaba ya Simba.kwa akili hizi soka la TANZANIA halitatoboa kamwe,kwahiyo ww unafikiri kuwa timu ya taifa itatoboa kwa wachezaji wa simba na yanga?kwahiyo unaona ni bora mchezaji aendelee kubaki ligi ya tz ilimradi anapata pesa kuliko kutoka nje?yaani imebaki kidogo useme kwanini Azam wasimpe hizo pesa SAMATTA kuliko kumpa NGOMA au kwanini SIMBA wasimpe pesa MSUVA kuliko kumpa NIYONZIMA au GYAN.....acha akili za kivuvula wachezaji wakitoka nje ya mipaka kwa wingi hakika TAIFA STARS itatoboa
Umesema vema lakini kwa vyovyote vile hii kanuni ni batili kwakuwa 98% ya vilabu vyetu bado havina vipato vya kuweza kusajili hata wachezaji 3 wa kigeni wenye hadhi ya kuchezea timu zao za taifa wanakotoka. Timu zetu nyingi bado zinafanyakazi ya kuibua na kukuza vipaji vinavyoishia kuchukuliwa na timu za Yanga, Simba na Azam tu, na sasa Siginda. Hivyo kama timu haziwezi kusajili wageni 3 bado kwanini 10 sasa? Hii ina maana tff inatunga sheria kwaajili ya timu 2 au 3 tu za ligi. Hii itasababisha ligi ichezwe upande mmoja tu wa klabu zenye nguvu ya fedha. Hii itasababisha ligi isiwe na mvuto maana watu wanayajuwa matokeo kabla ya mechi kuchezwa.
Uingereza timu zooote zina uwezo wa kusajili wachezaji wa kigeni kama wakihitajika, lakini tanzania sio hivyo.
Dawa sio kukusanya wababaishaji wengi kutoka rwanda, Burundi, Uganda na kuwapa hizo pesa wakajenge kwao huku viwango vya vya mpira ni kama vya vijana wetu Tu hapa. Kagere kalamba mapesa mengi lakini timu imelikosa kombe. Kwanini hiyo pesa wasingempa Chilunda?
mbona povu jingi mkuu,hizo akili zako za matopeni na huo ubongo wa chura ......nani aliyeipigia simba debe hapa?unafikiri kwa kutumia nini bro?maana wanipa mashaka kidogo.....SAFI SANA TFF ONGEZENI HATA WAFIKIE 20 HAO WACHEZAJI WA KIGENIAkili yako ilivyo ndogo unadhani timu makini huko nje zitachukua mchezaji wetu tu hovyohovyo. Tff inachotakiwa hapa ni kuhamasisha uanzishwaji mkubwa wa vituo vya kulelea vipaji hapa nchini. Ikiwezekana kila timu iliyoko ligi kuu na wadau wengine wawe za vitalu hivyo badala ya kuwa na wachezaji wanaotumia ujanjaujanja, bangi katika mpira. Hapo ndio utaweza kupata vijana wengi wanaoweza kuuzika nchi za nje sio eti kwa kuleta wachezaji 10 wa kigeni kwenye timu. Bora hata yule anaesema tuwape uraia wa tanzania wachezaji wa kigeni wenye vipaji na hadhi ya kuchezea timu ya taifa kuliko utumbo wako unaoupigia debe kwa niaba ya Simba.
Hapa ume tumia akili ndogo sana ku reason. Argentina walikuwa na messi WC 2018 wametolewa mapema, URENO walikuwa na Ronaldo WC 2010 Russia. Wametolewa mapema. Sasa utasema hao wachezaji wasilipwe pesa nyingi kwa kigezo hicho? Kwa nini hampend kutumia akil? Manchester ilikuwa na wachezaj wa gharama sana but ubingwa kachukua Man United. Huwez sikia Manchester wanaponda
MO hangover! Ikiisha akili zitawaridia.unapoteza muda wako kujibizana na huyu mtu aisee .....ndio hawa wakiona madukani kuna vitu vya thamani wanalaani kwanini waweke vitu hivyo hahahah eti kisa yeye hana pesa hajui kuwa kuna watu `wanavihitaji na pesa za kununua wanazo....ndio yaleyaleeeeeee ya mkulu na madreamliner hahahahahaha watazipanda wengine na wewe utafaidika indirect
Hata Ulaya wanayo sheria ya kulinganisha uwiano wa gharama za kusagili kwa timu zilizoko kwenye ligi moja. hUWEZI KUWA NA TIMU 2 TU KATI YA 20 AMBAZO ZINASHIRIKI LIGI HUSIKA ZINAZOWEZA KUTUMIA KIWANGO FULANI CHA USAJILI WA WACHEZAJI KUZIDI TIMU NYINGINE KWENYE LIGI. kAMA IKO TIMU MOJA INAYOWEZA KUSAJILI WACHEZAJI 10 WA KIGENI KWA WAKATI MMOJA HAIWEZI KURUHUSIWA KUCHEZA LIGI MOJA NA TIMU AMBAZO HAZIWEZI KUSAJILI HATA MCHEZAJI MMOJA, aU TIMU MOJA TU INATUMIA SH. 2 BIL KUSAJILI HAIWEZI KUCHEZA LIGI MOJA NA TIMU ZINAZOTUMIA SH. 500,000 TU KWENYE LIGImbona povu jingi mkuu,hizo akili zako za matopeni na huo ubongo wa chura ......nani aliyeipigia simba debe hapa?unafikiri kwa kutumia nini bro?maana wanipa mashaka kidogo.....SAFI SANA TFF ONGEZENI HATA WAFIKIE 20 HAO WACHEZAJI WA KIGENI
walipandaje ligi kuu?kinachoangaliwa ni uwezo na sio aina au thamani ya wachezaji usitudanganye ndugu yangu,hivi unataka kuniambia thamani ya kikosi cha MAN CITY ina uwiano au inalingana na thamani ya kikosi cha HUDDERSFIELD au WOLVES? hivi thamani ya kikosi cha BARCELONA au R.MADRID inalingana na HELAS PALMA au GIJON?Hata Ulaya wanayo sheria ya kulinganisha uwiano wa gharama za kusagili kwa timu zilizoko kwenye ligi moja. hUWEZI KUWA NA TIMU 2 TU KATI YA 20 AMBAZO ZINASHIRIKI LIGI HUSIKA ZINAZOWEZA KUTUMIA KIWANGO FULANI CHA USAJILI WA WACHEZAJI KUZIDI TIMU NYINGINE KWENYE LIGI. kAMA IKO TIMU MOJA INAYOWEZA KUSAJILI WACHEZAJI 10 WA KIGENI KWA WAKATI MMOJA HAIWEZI KURUHUSIWA KUCHEZA LIGI MOJA NA TIMU AMBAZO HAZIWEZI KUSAJILI HATA MCHEZAJI MMOJA, aU TIMU MOJA TU INATUMIA SH. 2 BIL KUSAJILI HAIWEZI KUCHEZA LIGI MOJA NA TIMU ZINAZOTUMIA SH. 500,000 TU KWENYE LIGI
Wewe huna unachofahamu kwenye mpira bora ukae kimya ujifunze kwa wengine. Kwani PSG walipotaka kumsajili Neymar waliambiwa wafanye nini kwanza kabla ya kuruhusiwa kumsajili?walipandaje ligi kuu?kinachoangaliwa ni uwezo na sio aina au thamani ya wachezaji usitudanganye ndugu yangu,hivi unataka kuniambia thamani ya kikosi cha MAN CITY ina uwiano au inalingana na thamani ya kikosi cha HUDDERSFIELD au WOLVES? hivi thamani ya kikosi cha BARCELONA au R.MADRID inalingana na HELAS PALMA au GIJON?
HEBU TUONDOLEE HUO UZWAZWA WAKO .........
SAFI SANA TFF KWA HILI
Wewe hujui kuwa ENGLAND tayari ni nje?England timu zao zimejaa wazawa lakini ni waingereza wangapi wanacheza nje ya England, timu Yao ya taifa ina ubora gani duniani?
Ukisikiliza hoja za Karia za kutetea wachezaji wa 10 wa kigeni unaisikia harufu ya mdhani wa Simba tu basi. Kweli kila mtu ana price tag yake!!! Hiyo pesa ya kulipa wachezi 10 x 20 = 200 wa kigeni kwanini isitumike kuendeleza soka la watoto na vijana?. Hata huko Senegal, Ghana, Nigeria, Cameroon, Misri, Algeria, Mali, nk ambako mpira unachezwa hawajafikia 'upuuzi' huu wa kwetu tunaoupendekeza.Wewe hujui kuwa ENGLAND tayari ni nje?
wewe kweli zwazwa sasa hapo umeandika nini?Wewe huna unachofahamu kwenye mpira bora ukae kimya ujifunze kwa wengine. Kwani PSG walipotaka kumsajili Neymar waliambiwa wafanye nini kwanza kabla ya kuruhusiwa kumsajili?
achana nae huyo atakuumiza kichwa hajui lolote hapo alipoWewe hujui kuwa ENGLAND tayari ni nje?
yangaKlabu zipi Kwa majina zilipendekeza Wachezaji 10?