TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 25,225
- 25,488
Ufaransa imembeba kombe kwa mgongo wa Afrika...kwa nini na sisi tusibebe makombe ya vilabu Afrika na Dunia kwa mgongo wa wachezaji wa kigeni ? Ni wageni wameboresha timu ya taifa Uingereza.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hiyo ya ufaransa haifanani na hii, ile ni timu ya taifa ambayo wageni wenye vipaji wanapata uraia kirahisi, na huku itakuwa hivyo?Ufaransa imembeba kombe kwa mgongo wa Afrika...kwa nini na sisi tusibebe makombe ya vilabu Afrika na Dunia kwa mgongo wa wachezaji wa kigeni ? Ni wageni wameboresha timu ya taifa Uingereza.
wallace karia. raisi wa tff. ni kiongozi wa hovyo sana huyu mtu. kwanza co full time pale tff anashinda oficn kwake tamisemi!Mpira wa miguu ni ajira mbali ya kuleta furaha na sifa kwa vilabu, mashabiki na taifa. Ligi kuu ina timu 16 na kama timu itaweza kusajili wachezi 10 wa kigeni maana yake wageni 160 watashiriki ligi kuu nchini. Kama kocha akiamua kuwapanga wachezaji wote 10 uwanjani, maana yake mzawa mmoja tu ndiye atakaepata nafasi ya kucheza kwenye mechi hiyo. Tunaelekea wapi? au ni njia ya kuzibeba timu kubwa zenye wafadhili wenye hela?
Rais wa TFF Simba damu kaamua kuibeba waziwazi kwa vitendo na kadhamiria kuua soka la TZ kwa kuleta maproMpira wa miguu ni ajira mbali ya kuleta furaha na sifa kwa vilabu, mashabiki na taifa. Ligi kuu ina timu 16 na kama timu itaweza kusajili wachezi 10 wa kigeni maana yake wageni 160 watashiriki ligi kuu nchini. Kama kocha akiamua kuwapanga wachezaji wote 10 uwanjani, maana yake mzawa mmoja tu ndiye atakaepata nafasi ya kucheza kwenye mechi hiyo. Tunaelekea wapi? au ni njia ya kuzibeba timu kubwa zenye wafadhili wenye hela?