Wachezaji 10 wa kigeni uwanjani sio sawa

Ufaransa imembeba kombe kwa mgongo wa Afrika...kwa nini na sisi tusibebe makombe ya vilabu Afrika na Dunia kwa mgongo wa wachezaji wa kigeni ? Ni wageni wameboresha timu ya taifa Uingereza.
 
Ufaransa imembeba kombe kwa mgongo wa Afrika...kwa nini na sisi tusibebe makombe ya vilabu Afrika na Dunia kwa mgongo wa wachezaji wa kigeni ? Ni wageni wameboresha timu ya taifa Uingereza.
hiyo ya ufaransa haifanani na hii, ile ni timu ya taifa ambayo wageni wenye vipaji wanapata uraia kirahisi, na huku itakuwa hivyo?
 
wallace karia. raisi wa tff. ni kiongozi wa hovyo sana huyu mtu. kwanza co full time pale tff anashinda oficn kwake tamisemi!
 
Rais wa TFF Simba damu kaamua kuibeba waziwazi kwa vitendo na kadhamiria kuua soka la TZ kwa kuleta mapro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…