Wachezaji 10 wanaolipwa mshahara mrefu kwa sasa duniani.

Kitombise

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2013
Posts
8,575
Reaction score
25,619
Kwa mujibu wa mtatndao wa sokkaa.com,
wachezaji wawili bora duniani Cristiano Ronaldo
na Lionel Messi wamewaacha wengine mbali
katika kuvuta mkwanja mrefu kwa upande wa
wacheza soka.
Ronaldo, ambaye hivi karibuni ameisaidia Ureno
kushinda kombe la mataifa ya Ulaya 2016,
anaongoza chat hiyo akiwa na mshahara wa
£288,000 kwa wiki baada ya makato ya kodi
(sawa na kitita cha £15 million kwa mwaka)
waka Messi akiwa nafasi ya pili kwa kulipwa
vizuri anachukua kitita cha £275,000 (sawa na
£14.5 million kwa mwaka).
Baada ya kukamilika kwa dili lililovinja rekodi ya
uhamisho duniani la ada ya paundi milioni 89
(sawa na dola za Marekani milioni 115.98), Paul
Pogba ambaye amesaini miaka mitano kuitumikia
Manchester United mkataba wake unamfanya
alipwe £290,000 kwa wiki.
10. David Silva (Manchester City)
Mshahara wa kila wiki: £200,000
Mshara kwa mwaka: £10.9 million
9. Neymar (Barcelona)
Mshahara wa kila wiki: £220,000
Mshahara wa mwaka:£11.4 million
8. Asamoah Gyan (Shanghai SIPG)
Mshahara wa kila wiki: £227,000
Mshahara wa mwaka: £11.8 million
7. Sergio Aguero (Manchester City)
Mshahara wa kila wiki: £240,000
Mshahara wa mwaka: £11.9 million
6. Yaya Toure (Manchester City)
Mshahara wa wiki: £240,000
Mshahara wake kwa mwaka ni: £11.9 million
5. Zlatan Ibrahimovic (Manchester United)
Mshahara wa wiki: £250,000
Kwa mwaka anaingiza: £11.4 million
4. Wayne Rooney (Manchester United)
Mshahara wa wiki: £260,000
Kwa mwaka anavuna mshahara: £13 million
3. Paul Pogba (Manchester United)
Mshahara wa wiki: £290,000 (kabla ya makato
ya kodi)
Mshahara kwa mwaka:£13.9 million
2. Lionel Messi (FC Barcelona)
Mshahara kwa wiki: £275,000 baada ya makato
ya kodi
Mshahara kwa mwaka: £14.5 million baada ya
makato ya kodi
1. Cristiano Ronaldo (Real Madrid)
Mshahara kwa wiki: £288,000 baada ya makato
ya kodi
Mshahara kwa mwaka: £15 baada ya makato ya
kodi
 



Kwenye B umechemka, aliyeisaidia team ni elder, sasa huyo mcheza dance kaisaidia vipi wakati alitoka dk ya 18? Mbona mnajitoa fahamu hali ya kuwa mnajua kabisa rinodo hajafanya chochote kwenye euro..

Hii list umeiokota kwa shaffii dauda ukaipaste huku hali yakuwa haiko sawa, irekebishe kwanza alaf ndio uiposst..tatizo huwa mnakurupuka bils kukagua kilichotumwa.

Shaffii dauda ni team ronaldo, isahihishe ndio uitume tena
 
Mkuu haraka ya nini wakati umekop na kupaste

Huyo mmoroco hajaisaidia kitu Portugal zaid ya kuifanya ikamate namba 3 makundi

Pili KAMWE MMOROCO HAWEZI CHEZA EURO 2026 SABABU MIAKA HYO ATAKUWA KASHAKONGOROKA HUKO MORROCO
 
Yule kijana Rahim wa Uingereza anachezea timu gani sasa hivi? Alikuwa Man United ninadhani.
 
Mkuu haraka ya nini wakati umekop na kupaste

Huyo mmoroco hajaisaidia kitu Portugal zaid ya kuifanya ikamate namba 3 makundi

Pili KAMWE MMOROCO HAWEZI CHEZA EURO 2026 SABABU MIAKA HYO ATAKUWA KASHAKONGOROKA HUKO MORROCO
Kwa kuwa najua wewe ni ant-cr7 hvyo sina haja ya kubishana na ww.

[emoji15] Hivi ni sababu ipi inayokufanya umchukie Cr7 namna hiyo..!!

Je amekugongea mkeo?
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
mbona unaonekana kama una hasira vile kuiona hii list...!

Kwani hii list ulivyoiona inakuuma nini?

Je ulitaka Giroud ndo awe anaongozwa kulipwa pesa kuliko wengine?

Au ni kuwa roho inakuuma baada ya kuona C.Ronaldo ndo ameongoza list?

Kama unaona hii list ni ya uongo leta ya kwako
 

Makos ni kawaida ktk typing ili mradi tu uwe ummeelewa mwandishi alikiwa anamaanisha nini.

Vipi na wewe hapo kwenye red[emoji121] tukisema kuwa urekebishe nitakuwa nakosea?
 

Kutoka hatua za mwanzo za mashindano.
 
Kutoka hatua za mwanzo za mashindano.
Asante kwa kumfahamisha.

Ujue huyu jamaa hapo anafikiri ubingwa ni fainal tu. Bila kuangalia hatua za mwanzo za mchuano ndizo zinapelekea kuchukuwa ubingwa
 
Kwa kuwa najua wewe ni ant-cr7 hvyo sina haja ya kubishana na ww.

[emoji15] Hivi ni sababu ipi inayokufanya umchukie Cr7 namna hiyo..!!

Je amekugongea mkeo?
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mganga huwa hajigangi hivyo Mgongwaji ni vigumu kugonga
 
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mganga huwa hajigangi hivyo Mgongwaji ni vigumu kugonga
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Reactions: PNC

😛Haya mkuu sio mbaya kujifurahisha,
 
😛😛😛 eti hatua za mwanzo, ina maana asingewepo kikosini isingefika hapo ilipo na kubeba kikombe?
Jibu ni Ndiooo

Je ktk ile michuano ya euro ni nani ktk timu ya ureno mwenye asist nyingi na magoli mengi kama siyo Cr7
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…