Mwanamaji
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 2,905
- 4,518
😛😛😛 eti hatua za mwanzo, ina maana asingewepo kikosini isingefika hapo ilipo na kubeba kikombe?
Mi siwezi kulitabiri hilo, nimezungumzia kile nilichokiona/kilichotendeka.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😛😛😛 eti hatua za mwanzo, ina maana asingewepo kikosini isingefika hapo ilipo na kubeba kikombe?
[emoji1] [emoji1] [emoji1] ni pochiKaka kwenye hito picha ya katikati, alichobeba ni pochi ama kitu gani, dah Ronaldo!!!!
Acha hoja za sanamu la diamond kureplace lile la samora.😛😛😛 eti hatua za mwanzo, ina maana asingewepo kikosini isingefika hapo ilipo na kubeba kikombe?
Aisee umewapa jibu zuri sana hawa washabiki mandazi.Watu wana hoja dhaifu... uero imemalizika juzi tu ila wameshasahau..... game ya 3-3 kwenye makundi mmesahau alichofanya, zile two classic goals and one assist. Ureno wangepoteza hii mechi unategemea wangequalify kama best looser??? What about game na crotia?? What about game vs wales?? Na ile iliyoenda kwenye penalties?? Ndio nyinyi ambao mnafikir mwanafunzi aliepata division 4 ni ******... mnasahau kwamba environment ni sehemu ya quality education. Stop hizi personal attacks...
Nafananisha kwenye world cup ya 2014 ina maana gotze ndie aliyeibeba team zaidi ya muller???
Vipi mbona mess ana ma-tattoo hadi m.k.nd.n lakini hamsemi?
Watu wana hoja dhaifu... uero imemalizika juzi tu ila wameshasahau..... game ya 3-3 kwenye makundi mmesahau alichofanya, zile two classic goals and one assist. Ureno wangepoteza hii mechi unategemea wangequalify kama best looser??? What about game na crotia?? What about game vs wales?? Na ile iliyoenda kwenye penalties?? Ndio nyinyi ambao mnafikir mwanafunzi aliepata division 4 ni ******... mnasahau kwamba environment ni sehemu ya quality education. Stop hizi personal attacks...
Nafananisha kwenye world cup ya 2014 ina maana gotze ndie aliyeibeba team zaidi ya muller???
3goals+3assist bado hujaona kaisaidia? Unatumia makalio kuwazaKwenye B umechemka, aliyeisaidia team ni elder, sasa huyo mcheza dance kaisaidia vipi wakati alitoka dk ya 18? Mbona mnajitoa fahamu hali ya kuwa mnajua kabisa rinodo hajafanya chochote kwenye euro..
Hii list umeiokota kwa shaffii dauda ukaipaste huku hali yakuwa haiko sawa, irekebishe kwanza alaf ndio uiposst..tatizo huwa mnakurupuka bils kukagua kilichotumwa.
Shaffii dauda ni team ronaldo, isahihishe ndio uitume tena
We ni tako yaan assist 3 na goal 3 katka mechi muhimu za kufuzu hukuona ni kitu? Nenda ulale ukueMkuu Germany haimtegemei mtu mmoja,inacheza kitimu..ni kama vile Argentina. Argentina the best team always, ina mastaa kibao wanacheza kitimu, na pia akiwemo mfalme kikosini ndie anaufanya mchezo kuwa mwepesi zaidi ila hawakuwa na bahati tu.
Ureno wachezaji walio-onekana angalau kwa mbali ni yule raia wa ethiopia na Quaresma baaaaas,japo imepita na kubeba ndoo kibahati bahati mno lkn hawana mpira kivile.na Huyo jamaa yenu alikuwa analukaluka tu uwanjani na kujiangusha like gaucho vile no different.
Tayari nimewauliza kuwa wanitajie mtu pale kwenye timu ya ureno aliyetupia magoli mengi na mwenye asist nyingi kama C.ronaldo ktk michuano ya Europe 2016. Lakini wanalikwepa hili swaliWe ni tako yaan assist 3 na goal 3 katka mechi muhimu za kufuzu hukuona ni kitu? Nenda ulale ukue
Thibitisha.. au wewe ndo uliyempakata?
Au wewe ndo unahitaji cr7 akupakate?
Tufanye sijui sasa. Sasa nataka uniletee huo uthibisho hapa na waa siyo blah blah tu.Mbona wenzako (madrid fans)wanajua evry thng about misifa, nakushangaa wewe to wajitoa ufahamu! Au unaishi na akina swala kule porini mzee,hujui dunia inaendaje!
We ni tako yaan assist 3 na goal 3 katka mechi muhimu za kufuzu hukuona ni kitu? Nenda ulale ukue
Tufanye sijui sasa. Sasa nataka uniletee huo uthibisho hapa na waa siyo blah blah tu.
Maana unaonekana wewe ni mfwatiliaji wa magazeti ya udaku tu.
[emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41]