Duhhh mweli ma haters waga hatukosi sababu, yani mtu kakuzidi
1. Utajiri wewe pamoja na ukoo wako mzima
2. Amepita na watoto wakali ambao ww unawaangalia tu kwenye tv, ma actress, mamodo, wasanii na wengineo alafu ww mkeo anafanya kazi bar
3. Mchezaji wa mpira ghari zaidi duniani ikiwa ww ndo mfanyakazi unaelipwa mshahara mdogo kuliko wote kwenye kibarua chako
4. Mchezaji maarufu zaidi duniani wakati ww ata mwenyekiti wa mtaa wako hakujui
5. Top scorer wa muda wote wa club kubwa zaidi duniani ikiwa ww at kuscore bao 3 kwa mkeo huwezi
6. Mchezaji ambae anaongoza kwa kusaidia wanachi wa hali ya chini dunia nzima wakati ww mchango tu wa msikiti eneo unalokaa hadi leo hujatoa ile buku 1
7. Mwenzio ana mtoto 1 wa kiume ambae ata akiamua kukataa kusoma wala kutofanya chochote hadi anakufa anaweza kutumia hela za baba yake, wakati ww huu mwaka wa 2 ulikuwa unahangaika na dr mwaka upate mtoto ambae ata kuishi kwake ingekuwa ni matatizo matupu km ukimpata maana huna mbele wa nyuma
8. Mchezaji pekee ambae anashindana na messi kwa mafanikio uwanjani na hakuna mwingine ambae unamuona yeye sio gay mwenye uwezo wa kubambana na messi
Mwisho kabisa jamani mpira ni mchezo wa nguvu me sidhani km gay anaweza kuwa na power aliyonayo ronaldo, km unataka kuthibitisha angalia magay uwajuao ww alafu cheki strength zao, au ukitaka uthibitisho zaidi njoo nikufumue hiyo sphincter muscle kwa week 1 tu uone km utaweza kufanya hiyo kazi yako ya udalali vizuri
Come on guys, yani jamaa amekuzidi karibia kila kitu ila bado una force kuhate tu, na kumchukia mtu ambae anakuzidi waga inauma sana sa sielewi wenzangu mna vumilia vipi, kwa mambo anayofanya ronaldo anastahili heshima ata ata km we ni shabiki wa messi, ni kawaida kuwa na upinzani wa maneno baina ya team flani na flani ila angalia mahaba yasizidi