Wachezaji 100 bora wa muda wote watajwa

Wachezaji 100 bora wa muda wote watajwa

Sasa unataka kubisha au ? Hao waafrika wanabaki wakawaida tu mbele ya hao wababe

"SIJAWAHI KUONA MCHEZAJI KAMA MESSI NA NADHANI SITAONA TENA KAMA MESSI"
Neymar Jr
Sasa mtu huna hata Muongo mmoja tangu uanze kuangalia mpira unajifanya na wewe umo. Sio tatizo lako lakini, mfumo wako wa ubongo ndo unavyokuongoza ila next time uliza kwanza usikurupuke
 
Walikuwa wanatumia vigezo gani sasa, hadi dinyo yupo chini ivo?
 
Sasa mtu huna hata Muongo mmoja tangu uanze kuangalia mpira unajifanya na wewe umo. Sio tatizo lako lakini, mfumo wako wa ubongo ndo unavyokuongoza ila next time uliza kwanza usikurupuke
Bishana na wazungu hao sasa

Wewe upo mbagala kimbangulile unataka kuleta ujuaji, mbona timu yako ya taifa hamjaisaidia chochote kwa miongo yote mliyokuwepo

Shubamit!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Pele anatakiwa awe juu kuliko wote. Kwa sababu hakuna mchezaji yoyote aliyeweza kuchukua 3 world cups. George Weah na Didier Drogba wanatakiwa wawe kwenye list hii.
 
Pele anatakiwa awe juu kuliko wote. Kwa sababu hakuna mchezaji yoyote aliyeweza kuchukua 3 world cups. George Weah na Didier Drogba wanatakiwa wawe kwenye list hii.
Drogba na weah wawatoe kina nani ktk hiyo list ili waingiewao?
 
Ni wapuuzi.
mtu George Weah aliyechukua mpaka tuzo ya Mchezaji bora wa Dunia mwaka 1995 hayumo!!!
Kisa Mwafrica.....
Mi mwenyewe nimerudia rudia kuangalia hiyo list kwamba labda sijaona vizuri nikilitafuta jina la Weah.
 
Drogba na weah wawatoe kina nani ktk hiyo list ili waingiewao?

Wanaweza kuwatoa wengi tuu kama Gianni River, Nandor Hidegkuti, Matthias Sindelar, Michael Laudrup. Weah and Drogba are better than these players.
 
Back
Top Bottom