Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ndio maana unashabikia ChelseaSiwezi kukubaliana na hili gazeti pelle wa tatu kwa kitu gani alicho nacho maradona?
Sasa mtu huna hata Muongo mmoja tangu uanze kuangalia mpira unajifanya na wewe umo. Sio tatizo lako lakini, mfumo wako wa ubongo ndo unavyokuongoza ila next time uliza kwanza usikurupukeSasa unataka kubisha au ? Hao waafrika wanabaki wakawaida tu mbele ya hao wababe
"SIJAWAHI KUONA MCHEZAJI KAMA MESSI NA NADHANI SITAONA TENA KAMA MESSI"
Neymar Jr
Kwa sababu mweusi, na wamepata tabu sana mpaka kuliweka hilo jina.Siwezi kukubaliana na hili gazeti pelle wa tatu kwa kitu gani alicho nacho maradona?
Bishana na wazungu hao sasaSasa mtu huna hata Muongo mmoja tangu uanze kuangalia mpira unajifanya na wewe umo. Sio tatizo lako lakini, mfumo wako wa ubongo ndo unavyokuongoza ila next time uliza kwanza usikurupuke
Macho yangu siku hizi hayaoni vizuri. Hivi hata Okwi na Niyonzima hawapo? Kama ni kweli yule mnenaji wa mikia fc atuondelee kelele zake!Sijamuona Tambwe na kichuya humoo
Iniesta yupoNeymar yupo iniesta hayupo hii list ya uongo kabca
sent from using iphone 7+ mobile app
Drogba na weah wawatoe kina nani ktk hiyo list ili waingiewao?Pele anatakiwa awe juu kuliko wote. Kwa sababu hakuna mchezaji yoyote aliyeweza kuchukua 3 world cups. George Weah na Didier Drogba wanatakiwa wawe kwenye list hii.
Mi mwenyewe nimerudia rudia kuangalia hiyo list kwamba labda sijaona vizuri nikilitafuta jina la Weah.Ni wapuuzi.
mtu George Weah aliyechukua mpaka tuzo ya Mchezaji bora wa Dunia mwaka 1995 hayumo!!!
Kisa Mwafrica.....
Drogba na weah wawatoe kina nani ktk hiyo list ili waingiewao?