muokotamatunda
JF-Expert Member
- Apr 2, 2016
- 1,614
- 1,202
pale unapo faham nini unaenda kukutana nacho.Kila la kheri Mnyama
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
pale unapo faham nini unaenda kukutana nacho.Kila la kheri Mnyama
Wakifungwa siku waki rudi bongo tunawapiga mawe sasa
Ndo mpira wenyewe maana tusipo Fanya ivo wachezaji hawawezi kushtuka
mbumbumbu FC.Mungu awatangulie wapiganaji watu..kila jambo linawezekana chini ya jua
SimbaNguvuMoja
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo mpira wenyewe maana tusipo Fanya ivo wachezaji hawawezi kushtuka
Akili za Vyura [emoji196][emoji196][emoji196] ndo zimeishia hapo, endeleeni kucheza mchangani na bwawaniMikia FC kula nyingi huko tupumue mjini.
Nisawa ila kama ni kuwapa moyo tumewapa ili nguvu ya mashabik ibaki kiukweli hii game ya Jumamosi wakaze sana maana ukiangailia kunamashabiki baadhi washaanza kukata tamaa kabsaKama ni hivyo punguza ukali wa vitisho, mpira ni mchezo wa makosa, wale Nkana hawakupenda kutoka katika michuano hiyo mkuu lakini imewabidi kutokana na makosa yao
Wape nguvu, Hima, na Ushauri..SimbaNguvuMoja
Sent using Jamii Forums mobile app
Unanichekesha sana ...mtoto wangu miaka 2+ anapenda sana hii pambio ! Ila we MATOPENI SIJUI UNAUNGANISHA JE NA WANAUME SIMBA!Kila laheri Simba.
Mbumbumbu FC.Akili za Vyura [emoji196][emoji196][emoji196] ndo zimeishia hapo, endeleeni kucheza mchangani na bwawani
Sent using Jamii Forums mobile app
mabao ni kutowajibika kama kutoku mark wapinzani na kupiga free headersMbwembwe zitoke wapi wakati wanajua wanafata gunia la mabao ni swala mda tu.
[emoji375][emoji375]
Timu imeondoka kimya kimya, sio kama raundi zilizopita. Afadhali Manara kapigwa breki. Huwaweka wachezaji under pressure.Msafara wa klabu ya Simba SC, Mnyama ukiwa na wachezaji 20, benchi la ufundi pamoja na baadhi ya viongozi umeondoka nchini leo Januari 29, 2019 kuelekea nchini Misri tayari kuwakabili klabu ya Al-Ahly kwa mchezo wa hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika.
Taarifa inalezwa kuwa msafara wa Simba SC utapitia Addis Ababa nchini Ethiopia na kisha kuelekea mjini Alexandria nchini Misri ambako mchezo huo utachezwa siku ya Jumamosi Februari 2, 2019.
Katika hatua nyingine klabu ya Simba imemteua Patrick Rweyemamu kuwa meneja huku aliyekuwa akishikilia nafasi hiyo Abbas Ally akitakiwa kuendelea na majukumu yake ya awali kama mratibu wa timu.
This Is Simba Sports Club NguvuMoja
View attachment 1007942
Sent using Jamii Forums mobile app
umbumbu hautakuwepo kama king'ang'anizi cha umilikaji uta kuwa ule ule au zaidi ya sc vita 57 simba 43 sc vita sioni sababu yaMbumbumbu FC.