Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 13,481
- 28,116
Wapambane na hali zao tu!hahaha umenipata,nilijiuliza kwa point za mezani Simba wamezidi.
Kombe lilikuwa la mbao hili,waliliiba tu hawa mikia,hii ndio laana yake!Ila swahiba huu ni zaidi ya uchokozi ujue. [emoji23] [emoji23]
Tff ya karia na wambura % kubwa mwisho wa msimu kanuni za ushiriki wa michuano ya kimataifa kubadilishwa,maana mikia ubingwa msahauNimeingia speed 180 nikajua za mezani tumepata. We kenge noma kweli. Tunatiana hamu halafu msosi haupo.
Hahahaa. Wameliachia mapeema. Na ligi kuu kwenyewe tia maji tia maji.Kombe lilikuwa la mbao hili,waliliiba tu hawa mikia,hii ndio laana yake!
Kuna jukwaa la jokes JF. Ujinga huu.*BREAKING NEWS:*
WACHEZAJI 3 GREEN WORRIERS HAWANA LESENI.
Imefahamika kuwa wachezaji watatu (3) miongon mwa wale walioshiriki katika mchezo dhidi ya Simba katika kuwania hatua inayofuata ya michuano ya kombe la FA maarufu kama AZAM FEDERATION CUP, hawana leseni za udereva. _*Nilijua wewe utaisoma habari hii kwa umakini mkubwa hadi mwisho ukidhani ni leseni za wachezaji*
PAMBANA NA HALI YAKO, HAKUNA POINT ZA MEZANI HAPA.[emoji13][emoji13][emoji13]
HahaahahaaaaNimeingia speed 180 nikajua za mezani tumepata. We kenge noma kweli. Tunatiana hamu halafu msosi haupo.
Punguza ukakasi wa maneno mkuuSimba wasenge sana
Pole mkuu, ID yako tuu inaonesha namna timu yako ilivyokujeruhiSimba wasenge sana