Wachezaji 3 wa green warriors hawana leseni

Mgagaa na Upwa

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2013
Posts
13,481
Reaction score
28,116
*BREAKING NEWS:*
WACHEZAJI 3 GREEN WORRIERS HAWANA LESENI.

Imefahamika kuwa wachezaji watatu (3) miongon mwa wale walioshiriki katika mchezo dhidi ya Simba katika kuwania hatua inayofuata ya michuano ya kombe la FA maarufu kama AZAM FEDERATION CUP, hawana leseni za udereva. _*Nilijua wewe utaisoma habari hii kwa umakini mkubwa hadi mwisho ukidhani ni leseni za wachezaji*
PAMBANA NA HALI YAKO, HAKUNA POINT ZA MEZANI HAPA.[emoji13][emoji13][emoji13]
 
Laana ya rambi rambi ya mafisango kabla haijaisha wamejiongezea laana nyingine ya kuwaibia kombe mbao[emoji23]
 
*BREAKING NEWS:*
WACHEZAJI 3 GREEN WORRIERS HAWANA LESENI.

Imefahamika kuwa wachezaji watatu (3) miongon mwa wale walioshiriki katika mchezo dhidi ya Simba katika kuwania hatua inayofuata ya michuano ya kombe la FA maarufu kama AZAM FEDERATION CUP, hawana leseni za udereva. _*Nilijua wewe utaisoma habari hii kwa umakini mkubwa hadi mwisho ukidhani ni leseni za wachezaji*
PAMBANA NA HALI YAKO, HAKUNA POINT ZA MEZANI HAPA.[emoji13][emoji13][emoji13]
Kuna jukwaa la jokes JF. Ujinga huu.
 
Back
Top Bottom